Recent content by Enkulu

  1. Enkulu

    Tujifunze kupitia Didier Drogba

    Didier Drogba, aliyekuwa mchezaji na mfungaji wa timu ya Chelsea ya mpira wa miguu nchini Uingereza alikwenda mapumziko kwenye hoteli moja ya kifahari iliyoko ufukweni. Aliona magari ya aina zote ya kifahari yakiwa yanaingia hotelini yakiwa yamewabeba mabilionea wakubwa waliokuja kuhudhuria...
  2. Enkulu

    Dondoo za hatifungani za leo - 20yrs Bond 15.49%

    Matokeo ya mnada uliofanyika Leo tarehe 31 Julai 2024
  3. Enkulu

    Dondoo za hatifungani za leo - 20yrs Bond 15.49%

    Leo jumatano ya tarehe 31 Julai 2024, ni siku ya mnada wa Hatifungani ya miaka 20 yenye riba ya 15.49% kwa mwaka. Kwa watakao shinda katika mnada huu watakuwa na dhamana ya miaka 20 kama nilivyosema hapo awali. Dhamana hii itakuja na kuponi mbili kwa mwaka, yaani kila baada ya miezi sita (06)...
  4. Enkulu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Msininunukuu vibaya, biashara ya nyumba sio biashara kichaa lakini mimi sipendezwi nayo. Kama ulivyosema mtoa mada, unagharamia 30M kujenga nyumba moja ili upate kodi ya 2.5M kwa mwaka. Na hapo itokee umemaliza tu kujenga akapatikana mteja, inaweza ukamaliza kujenga leo mteja ukapata baada ya...
  5. Enkulu

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Mmmh si useme tu ukweli ulikutwa na ngoma
  6. Enkulu

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Kabla ya kukoment ilinibidi niangalie hii thread ya mwaka gani[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mwaka huu huu. Yaani kwa elfu 10 unataka upate pisi nzuri kweli? Andaa ukwasi wa kutosha wewe uende sehemu ukatafune pisi za kihindi, waarabu, na za kibongo za kwenda.
  7. Enkulu

    Naingia mwaka 2023 na Malengo yafuatayo; Tuonane December 28,2023

    Mafuta ya nazi mkuu, anajipaka mguuni
  8. Enkulu

    Biashara yenye faida ndogo ifanye kwa ukubwa

    Leo nimekaa nikaanza kutafakari hili, nikajiuliza mtu anafungua kiwanda cha kutengeneza viberiti, analipa wafanyakazi, analipa kodi ya serikali pamoja na vitu vyengine, ananunua materials, analipia usafirishaji alafu kiberiti anakuja kutuuzia kimoja 100/= Nachoamini ukiona mtu anafanya biashara...
  9. Enkulu

    Kumbe biashara ya mahindi mabichi inalipa na wadau mmekaa kimya hamsemi

    Hapana sikatishi tamaa mimi naongea uhalisia. Ndo maana nikasema hio biashara inayo faida, ingekuwa haina faida watu wasingeifanya. Ila kama tunaona watu wanafanya na maisha yao yanaenda basi faida ipo. ILA HAWAPATI FAIDA KAMA WEWE ULIVYOONESHA KWENYE PROJECTION YAKO Labda ufungue matawi...
  10. Enkulu

    Kumbe biashara ya mahindi mabichi inalipa na wadau mmekaa kimya hamsemi

    Hio faida ya 650 umeipataje? Umechukua 800 - 150 sindio? Kwa maana ya kwamba huo mhindi ukinunua shambani unakuwa ushachomwa sindio? Wewe unanunua na kuja kuuza tu. Au hukuwaza hilo, hujui kuna kununua mkaa? Aliekwambia utauza mahindi 100 kila siku kwa mwaka mzima nani? Mahindi ya kuchoma...
  11. Enkulu

    Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

    Habari Mimi ni muumini mzuri wa dini ya kikristo, nimezaliwa na kukulia katika dini. Hiyo haikuwa sababu ya kunizuia kusoma maandiko na machapisho ya dini zengine. Nimesoma Quran pale nilipo bahatika, nikasoma maandiko ya freemasons yale niliyokutana nayo, nimesoma vitabu vya wahindu kwa...
  12. Enkulu

    Tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi

    Sitaki kupingana ma wewe moja kwa moja kwasababu ndicho ulichochagua kuamini. Binafsi naamini Mungu yupo na vya kuthibitisha kuwa Mungu yupo vipo vingi, vithibitisho cya kiimani, kisayansi, kiroho na kila kitu. Leo hii tunaona ndege zinaruka, magari yanatembea, pikipiki, meli na vyote...
  13. Enkulu

    Tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi

    Kabisa, umejibu na upo sawa 100%
  14. Enkulu

    Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

    Blah blah blah, hakuna kitu umeandika hapa. Bora ungekoroga uji ukanywa
  15. Enkulu

    Tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi

    "Tulikupenda/Tulimpenda lakini Mungu kakupenda/kampenda zaidi" hii kauli, au sentensi au msemo umekuwa ukisikika sana katika misiba ya Wakristo. Sina hakika kwa upande wa Waislam ila kama pia hutumika mimi sijui. Imekuwa ni sentensi ya kawaida sana kutamkwa misibani. Lakini sentensi hii fupi...
Back
Top Bottom