Recent content by Enjoy Fumbo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Heche John

    Kama ni kweli walichokuwa wanaongea akina Juliana,Mwampamba basi naamini ujumbe umefika kwa jamii na kazi ya jamii ni kuchambua pumba na mahindi kwani kuwafukuza watu watano c chochote katika nchi yenye watu mil 44,lakini kama walikuwa wametumwa na ccm basi walaniwe maisha yao yote ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania VIDEO: BAVICHA yawafukuza Uanachama Watovu wa Nidhamu

    Ni wewe wa sema kuwa hawana nidhimu lakini kumbuka kuwa hi ni siasa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu:siku kuhesabiwa.

    Tatizo kazi ya ualimu haina malupu lupu,ningekuwa trafic raha?mshahara sigusi
  4. E

    JamiiForums Tanzania ajira za walimu wapya 2013

    Mwezi wa ngapi we chizi ww?ni wa 9?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya kwa walimu wote

    Mbona bado? Vumilia mwz wa 2
  6. E

    JamiiForums Tanzania Merry Christmass and Happy New Year to all Jf members...

    Co kwamba vocha zinawezakupanda ila lazima zipande
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari agongwa na gari makusudi

    Pole sana mwandishi
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Majina ya Wanafunzi Wapya na Vituo Walivyopangiwa

    Vp wadau mbozi mission ipo?kama ipo naomba niangalizie jina la odeni kope
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msiba udom: Mhadhili msaidizi afariki

    RIP,Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amena.da shabiki wa chelse na mwlm
  10. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mie nipo Mbeya nataka kuja Moro. Kama vp 2badilishane.
Back
Top Bottom