naomba kuuliza wana JF mimi account yangu ya ajira portal ili collapse kwa maana kwamba siwez kulog in siwezi kufanya chochote.
Kabla ya hilo tatizo nilifanya oral interview ya kazi fulani, sasa naomba kuuliza je,? ikitokea nimepangiwa kituo cha kazi naweza kuipataje barua maana siwezi kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.