Recent content by Eniko2016

  1. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Mada: Kupigana vita pasipo na vita

    :(
  2. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Tunatoa Training za TALLY, MYOB na Quick Book

    Kama navijua mnaweza kutoa mtihani alafu mkatoa cheti??
  3. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

    Sio wasiwasi ni kumfuta jasho mkereketwa asije lala na manung'uniko..... Usiogope sana...
  4. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

    Kumpiga mtoto sio ndio mwisho wa dharau zake, wangapi tumesoma nao mpaka leo vichwa ngumu na walipigwa ipasavyo. Ndo maana mnaambiwa muwe na mahusiano mazuri na wazazi mambo kama hayo unamuita mzazi shule muone namna ya kumnyoosha dogo. Huyo Mwl Frank kapata nini sasa? Shule ndo hiyo kakosa na...
  5. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumetenga Sh. Bilioni 85 kupunguza deni la MSD. Uhaba wa Chanjo sasa umetatuliwa...

    Sasa hao wanaosema dawa hamna wanaota au?
  6. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Private Consultant

    taratibu ndio mwenda. Huu ni mwanzo tu
  7. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Private Consultant

    We provide consultation services for Residence Permits, Passport Application, Dependent Pass, Visitor and Re-Entry Pass, Real Estate (leasing and buying, short term and long term rentals), Travel Planning and Tourism, and Public Relations management. For inquiries please contact us through...
  8. Eniko2016

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

    anakuzungusha kwasababu yuko makini alafu wewe utakua unaleta wasiwasi
Back
Top Bottom