Mwandishi mstaafu unaimiza waandishi waliopo kazini wafukunyue wakati wewe uliogopa kufukunyua? Pumzika salama Mbeya, na asante kwa makala ndefu ila tiari maji yamemwagika, issue ilikua kujua kwann ndege ilichelewa wala si nani amesababisha.
Tabby Hata wangekua wahamiaji haramu kwani adhabu yao ni kuwaua na kuwafunga katika viroba? Pengine mtu analiongelea kama anaangalia sinema tu hajui wahusika wanaumiaje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.