Haya ni mapemdekezo sio kugawa. Huyu Dada yuko vizuri kwenye kusimamia haki na Ana principle za kutenda na kutetea haki.
Elimu na exposure yake vinafaa pia
Kuna Wengine tumesoma napo sijui walikuwa bright lini.
Sometimes mnatetea mambo may b because yanawagusa directly ila watoto wavigogo hapo ndani personally nawajua wawili, they are no first class materials nor 2nd class.
Nawapa Hongera sana coz shuleni walikuwa wanapiga Bata sanaa, wakitucheka...
Hii mada ilikuwa inaendelea vizuri ikitafuta kiini cha tatizo. Sema kuna pandikizi humu ndani wanatutoa kwenye mstari.
Haya turudi kwenye mada, hadi sasa tunafahamu yafuatayo
1. TISS wanahusika na hili swala kwasababu ni sehemu ya kazi yao. ( kama unabisha anzisha Uzi mwingine ujadili kazi za...
Magufuli amekuwa mtu wa jazba zaidi. Kisheria daraja la kupitisha tani 10 linatakiwa kuwa na uwezo wa kuhimili hadi tani 15. Kwenye engineering tunaita safety factor, sasa kama barabara zetu zinapitisha maximam tani 25 per axle ya super single. Inamaana atleast tani 30 zikipita no permanent...
Kabla Hauja hitimusha jiulize
Je ni sehemu gani Tanzania jeshi ka Tanzania linalinda mpaka wake kama wako vitani?
Je ni sehemu gani ikifika usiku lazima upewe escort ya polisi ili uweze fika salama?
Ukipata hayo majibu utajua JK hajakurupuka.
Watu wengi huwa wanakariri vitu na wanashindwa kutafakari dhumuni ya sheria. Mwakembe hajakosea kuruhu hayo magari yapite.
Urefu wa gari kuzidi 0.5 m hauna madhara kwenye barabara zetu.
Ingekuwa uzito umezidi hapo lingekuwa kuwa sawa kuna makosa. Watu waache kumtafutia mwakyembe zengwe mwache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.