Kaliua urambo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 603
- 127
Kama inawezekana nikutafute jumapili niliangalie,nikiipenda nachukua kwa hiyo bei.
Ok poa
Kama inawezekana nikutafute jumapili niliangalie,nikiipenda nachukua kwa hiyo bei.
Ok poa
nimepata, imesajiliwa week 2 zilizopita
Oil filter ni 60,000 brake pads 50,000. Ila kanapiga mzigo sana, hakaharibiki kirahisi. Very stable car ukibadili tairi zake kuwa 14 nch.
hivi ni kweli oil filter ya haka kagari ni 80,000/=?