Recent content by eng.yumbu

  1. E

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Appreciate or depreciate? ??? Ardhi doesn't appreciate rudi darasani ndo urudi hapa...unasema usichokijua
  2. E

    Zitto: Januari ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote!

    Makamba namfananisha na jamaa ambalo limeandaa project(presentation). Ya hatr halafu likashindwa kuitetea (failure on delivery) Bora kuwa na vitu vifupi unavyovijua....lakini kwa kusema gas itaaanza baada ya miaka kumi inaonesha hajawa tayar kuongoza nch hajui hta wizara ya nisht inafanya nn??
  3. E

    GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Haya tuone sasa....wasira and eddo tyr wametoa ya kwao
  4. E

    Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    Go go mtt wa mfugaji..yes u can
  5. E

    Raia Mwema: CCM Haijui Ifanye nini na Lowassa

    Mbna iko vzr au umekariri kz yako ni kutafta sababu za kijadi
  6. E

    Mwigulu Nchemba ajiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM

    Yes he can be competitive candidates. For me yes he can...but I can't vote for him
  7. E

    Urais 2015: Nimjuavyo Dk Hamisi Kigwangalla na Uchambuzi Hafifu wa Julius Mtatiro!

    CCM inawenyewe mwimbaji maalufu wa ccm..alale mahari pema ....uzi huu una mantiki kubwa lakini ccm wamekuwa na kasumba ya kuachiana madala na kufata makundi.. Kama huyu dr hana kundi bado ndoto zake zitabaki kwenye kigwanomics.. Anatakiwa akae na wazee wa ccm awashawish wampe nchi..
  8. E

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Again is idiotic and non sense thread. ..badala ya kuleta hoja ya maana unataka tujadili udini???
  9. E

    Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

    Familia za afrika hazitk maendeleo
  10. E

    Life expectance ya Tanzania; Asume unapata mtoto ukiwa na miaka 30

    Umeona mada zingine za kijinga huu nao ukweli wa kipumbavu
  11. E

    Hatima ta UKAWA

    Nawauliza viongozi wa UKAWA.... Mbna mmekaa kimya kutujuza nani atasimama kugombea urais kwa kivuli cha UKAWA???? HEBU SEMEN BANA CC TUANZE KAMPANI MAPEMAA
  12. E

    Mawazo huru: Tujikite katika masuala muhimu ya kimaendeleo

    Kila kona sasa hivi utasikia UKAWA,ACT na CCM maswala mengine nyeti kama kilimo kwanza ujasria mali na uhuru wa fikira...vijana Tumejisahau, ikumbukwe kwamba maendeleo ya yetu ni kwa kiasi kidogo sana yanaweza kutokana na uamzi wetu wa kuchagua kiongozi makini.. Hapa cha msingi tujikite katika...
  13. E

    Naunga mkono kufukuzwa waafrika Afrika kusini

    Hawa SA kama wangefukuza waarabu na wahindi mm ningekuwa wa mwisho kuwalaumu lkn kwa hwa weusi kma mm...niwe wa kwanza kuwaraum kwa kila kona...huu ni uvivu wa fikira....haiwezekan mtu anafanya biashara zake useme anachukua ajira...hv kama huna sifa utapewaje kaziiiii......kma wanasifa na...
  14. E

    Makomandoo wa Bongo

    Hahhha...kunu kuwelelo
Back
Top Bottom