Recent content by Eng Said

  1. Eng Said

    Super Desktop On Sell

    Sorry for late reply wakuu... Naiuza 700,000/=
  2. Eng Said

    Super Desktop On Sell

    Full Dell Desktop with accessories on sell; - Processor: Core i7, 3.4Ghz - RAM: 8GB - HDD: 500GB - Graphic Card: Nvidia GeForce GT 710, Total size 6GB - Clean condition - Excellent for office works, gaming and software designs. #Price 700,000/= #For Serious buyersfind me through 0758539944/...
  3. Eng Said

    Benki ipi ina riba nafuu kwa mkopo wa watumishi?

    Habari ndugu wana Jamii Forum...me ni kijana mtanzania na ninaishi Dar es Salaam. Nlikuwa ninauliza ni benki gani inatoa mikopo kwa riba nafuu na yenye fursa bora kwa ajili ya biashara.Kwani natafuta kufungua business account na kila benki inavutia upande wake, nakosa uchaguzi. Ushauri wako...
  4. Eng Said

    Maajabu yatokea Tanzania

    ahahaha..ayse huyu jamaa kiboko..tumuongezee miaka, na dua zetu kwa pamoja
  5. Eng Said

    For JamiiForums Mobile users

    I l7b ljt7 l 75j l ply l the 8c8inj
  6. Eng Said

    HOME SHOPPING CENTER ndio wamiliki wa GALCO ICD...

    ahahaha dah eti Zee la Kitchen party
  7. Eng Said

    Wauza smartphone tukutane hapa

    in picture..
  8. Eng Said

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nauza iphone 6+ yangu..bei ya kutupa contact 0653255322 for serious bussiness
  9. Eng Said

    Kwa wapenzi wa comedy yupi mkali kati CHARLIE CHAPLIN na MR BEAN

    Charlie Chaplin yuko juu..hata kiziwi anajua hilo
  10. Eng Said

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    jamn nihataji kujua..maji ya kisima yenye chumvi kwa mbali..yanafaa kutuka kufugia??
Back
Top Bottom