Huo ni uongo uliowazi, kama ni kupiga wanawake ni makabila yote, hebu nitafute nikuoneshe mchaga mmoja ambae hata miezi miwili haishi bila kupiga mke wake, pia rejea matukio ya kutoana roho ama kupiga mwanamke mpaka wengine ni vilema kisa mapenzi ukianzia Rombo, Arusha, Mbeya, Dodoma, Dar es...