Recent content by eng.kwenyula

  1. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Mchezo uliochezwa na Serikali na makampuni ya simu juu ya makato ya miamala ya simu

    *KILICHOFANYWA NA SERIKALI NA MAKAMPUNI YA SIMU KWENYE MAKATO YA MIAMALA YA SIMU NI KALE KAMCHEZO KA' KAMPA KAMPA TENA.* Ndugu zangu kama mlikuwa hamjua ni kwamba haya malumbano kati ya serikali na makampuni ya simu juu ya hili zigo la makato ya 28% ( 18%VAT +10% UShuru) limlemee nani! kumbe...
  2. eng.kwenyula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Mkuu usilete masihara wala kutupotezea muda!! Kama unataka ushauri wa kisasi nakupa huu hapa. Funga safari mfuate Dar hakikisha unampata then mvizie,mteke. Hakikisha Kamanda Siro asikuone. Chukua kisu au kiwembe cha Topas kata lips zake zote za juu na chini, yaani hakikisha meno yote...
  3. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Updates zoezi la kuzima simu bandia

    PLEASE TCRA!! HII TAARIFA NINAYOTOA NIMEOTA LEO USIKU WA MANANE. ====================== Baaada ya mikwara mingi na vitisho vya kutosha juu ya kuzima simu Fake, ndugu zangu wanaofanya kazi TCRA walinialika jana usiku ili niende kujifunza kitu pale zoezi zima la kuzima network ya simu zote ambazo...
  4. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Soma vizuri utaelewa wapi imetoka.
  5. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Umerudiwa wapi we kilaza...soma uelewe
  6. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    UKWELI JUU YA MAKATO YA KUTUMA NA KUTOA FEDHA KWENYE HUDUMA ZA SIMU. Kabla ya kukupa ufafanuzi unapaswa kufahamu kwamba makato haya yatamuathiri mtumiaji yaani mnyonge na sio kampuni za simu. Kwa sasa ipo hivi: Ukimtumia mtu Tsh. 20,000/= basi katika fedha hiyo wanakukata Tsh. 500/= hiyo...
  7. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

    Pole ndugu!! Ukiona mtu yupo ulaya na bado ni ccm basi usiumize kichwa ujue virusi vya zika ni ugonjwa aliorithi.
  8. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Nauza gari aina ya Suzuki Carry Pick Up Mil 7

    Bado
  9. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Nauza gari aina ya Suzuki Carry Pick Up Mil 7

    Nimeshayatoa hayo matangazo
  10. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Nauza gari aina ya Suzuki Carry Pick Up Mil 7

    Vehicle Details: Make: Suzuki Model: carry Body Type Pick - Up Colour: Multicolour Engine Capacity: 657 Tare Weight: 600 Fuel used: Petrol Imported from: United Arab Emirates Price: 7M Call...
  11. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Nauza gari bei poa

    Ndio inayo
  12. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Nauza gari bei poa

    Vehicle Details: Make: Suzuki Model: carry Body Type Pick - Up Colour: Multicolour Engine Capacity: 657 Tare Weight: 600 Fuel used: Petrol Imported from: Unite Arab Emirates Price: 7M Call...
  13. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Neno la Kuudhi: Hakuna Haki ya Kikatiba ya Kuonwa "Live"

    Sina maana nimekubaliana na wewe kwa 100% bt na radio ni muhimu pia
  14. eng.kwenyula

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

    shoga upo?
Back
Top Bottom