Recent content by Eng HoffCani Sr

  1. Eng HoffCani Sr

    Huwa mnaishi vipi na watu wanaokuomba hela kila mnapokutana?

    Umenena vyema mkuu Mimi huwaga sijawahi kuwaambia kwamba maisha yameninyookea, Nikikutana nao ni mwendo wa kuna ishu naisikilizia au labda wanipe michongo maisha yamenipitia kushoto.. So kwa situation hio sio rahisi kukuomba, Au akikuomba unampa 500 tu au buku bas. Ukitoa zaidi ya hapo...
  2. Eng HoffCani Sr

    Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Tukubali tukatae Simba tumepoteana. Nukuta
  3. Eng HoffCani Sr

    Mo Foundation ni Matapeli namba yangu ila

    Umeliwa kijana.[emoji1787] Tatzo mko speed sana. Kabla ya kufanya jambo jaribu kufanya hata survey kidogo, hata fatilia comment utapata highlights au uliza kwa watu wako wa karibu.
  4. Eng HoffCani Sr

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Asante sana kwa muda wako mkuu Umetupa exposure kubwa sana. Pia nakuomba usisite kutupa mrejesho pindi utakapo pata fursa kwingine.
  5. Eng HoffCani Sr

    Kwa mtaji wa 2.5M Dodoma naweza nikafanya biashara gani?

    Salaam wana JF, Naombeni msaada wa ideas business yeyote ninayoweza nikafanya kwa mtaji wa 2.5M eneo ni Nzuguni Dodoma. Natanguliza Shukrani
  6. Eng HoffCani Sr

    Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

    Ishi huku mkuu. 1. Epuka watu watakaokushawishi kunywa pombe 2. Epuka mazingira yatakayokusababisha kunywa pombe. 3. Usiweke pombe nyumbani au sehemu unayokaa. 4. Wajulishe watu unaacha pombe 5. Tatua matatizo ya kihisia na kiakili. 6. Tafuta kitu mbadala cha kufanya. 7. Weka malengo tekelevu...
  7. Eng HoffCani Sr

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aliyeanza kujihusisha na ushoga!

    Asantee kwa kuniweka wazi mkuu. Ila nadhani hapo ni kwa anaefanyiwa. Ila mfanyaji at least anaweza kuchange mindsets from (kutamani wanawake badala ya wanaume)
  8. Eng HoffCani Sr

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aliyeanza kujihusisha na ushoga!

    Shukran mkuu Nadhani hii itasaidia [emoji28]. Ila nna waswas kama njia hiyo haitomuathiri kwenye kukidhi haja kubwa.
  9. Eng HoffCani Sr

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aliyeanza kujihusisha na ushoga!

    Asantee kwa ushauri mkuu. Hivi kama dogo anafanyiwa anaweza akawa normal, yaan akapeleka moto kama kawaida ?
  10. Eng HoffCani Sr

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aliyeanza kujihusisha na ushoga!

    Hapo kijana anasema kashawishiwa na mwenzake Alianza kama utani then ikawa ndo mchezo wao
  11. Eng HoffCani Sr

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aliyeanza kujihusisha na ushoga!

    Salaam wanaJukwaa! Naomba kujuzwa ni namna gani waweza kumpa msaada mtoto mwenye umri kati ya miaka (14-17) aliyeanza kujihusisha na hayo mambo ya ushoga either anafanyia wenzake au anafanyiwa na wenzake, ili kumweka mbali na hivyo vitendo. Natanguliza Shukrani.
Back
Top Bottom