Recent content by endrizzy

  1. endrizzy

    Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    SUA. https://chat.whatsapp.com/Bz3x2GHfmDc2I7MwGhOjXy UDSM https://chat.whatsapp.com/FgT7Ho9CTN5DFD8pUk8mwh MZUMBE https://chat.whatsapp.com/HEPmKgkSJCq3zatTT3J1Pc UDOM https://chat.whatsapp.com/Bfesb2V6abiDMyzBu1g1qy IFM https://chat.whatsapp.com/D6vKqLg2Dea2MPLBjmXeeR TIA...
  2. endrizzy

    Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

  3. endrizzy

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

  4. endrizzy

    Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    karibu ujionee viongozi wa nchi wanavyopambana kulinda Raia wake dhidi ya corona. Live...https://youtu.be/L_bEJkazSYc
  5. endrizzy

    Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    hajakataa kujilinda amesema chanjo haaziaminimi
  6. endrizzy

    Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    je wewe kama mTanzania mpenda nchi yako unaionaje kauli ya askofu Gwajima kuhusu corona je ameongea kama mzalendo au anatumika msikilize hapa chini
  7. endrizzy

    Kuanzia Jumatatu, menu za simBanking zitaanza kutozwa

    jamani naomba meejesho menu zenu vp
  8. endrizzy

    Kuanzia Jumatatu, menu za simBanking zitaanza kutozwa

    leo nimeamka na hii Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100 kazi iendeleeee
  9. endrizzy

    Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    hakuna shaka haji manara kama msemaji wa simba sc alikua akiishi kwenye dunia yake aliamini yeye ndo kila kitu pale simba hakuna anayeweza kumtingisha. alitukana waandishi hakuna aliyemgusa wala kumkanya alidhalilisha watu na hakuna aliyemkanya leo hii kapatikana yeye anakimbia huruma ya...
  10. endrizzy

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    kama diploma yako umepata miaka mitatu karibuni unapata mkopo
  11. endrizzy

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    fuata dimensions wanazotaka 120x150
  12. endrizzy

    Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    kumtumia mtu milioni moja kwa dar es salaam na kutoa jumla ya makato ni 29300 dah kwa makato haya si bora umtume boda boda
  13. endrizzy

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Imepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka. Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda...
Back
Top Bottom