Recent content by Endeleaaa

  1. Endeleaaa

    Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?

    Watu wanacheza kutafuta pesa, kama kuna timu unaweza kumlipa Mane vile anavyolipwa Ulaya wakamsajili uone kama atakataa kucheza Africa. Watu wameacha ligi yao ya DRC wamekuja ligi ya bongo, sio kuifanya iwe ligi bora bali wamefuata malipo bora kuliko yale ya kule kwao.
  2. Endeleaaa

    Serikali ianzishe Mamlaka ya Usimamizi wa Makanisa

    Haya tupatie hitimisho je ni nani basi akituambia kristo yuko hapa au yuko pale huyo tumwamini?
  3. Endeleaaa

    Serikali ianzishe Mamlaka ya Usimamizi wa Makanisa

    Kwani wewe huwa hutoi sadaka kwenye hiyo imani yako? Shida yako ni ninj watu wakitoa sadaka kwenye imani zao?
  4. Endeleaaa

    Sina hamu kabisa ya kuoa na umri unazidi kwenda

    Uoe mara ngapi ndugu, ushaoa mda sema umetengana na mkeo na familia yako. Ondoa msongo, irejee familia yako maisha yaendelee. Hizo kazi unazohangaika nazo pesa unapeleka wapi kama sio kuhudumia hiyo familia uliojitenga nayo. Warudishe nyumbani halalisha mke kisheria muendelee na maisha.
  5. Endeleaaa

    Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Huwezi kutaka kitu tu kwa vile mwenzio wmekihitaji. Huo unakuwa ni tamaa na wivu wa kijinga.
  6. Endeleaaa

    Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Vipi wewe mwanaume ukichepuka yeye afanyeje?
  7. Endeleaaa

    Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Umeandika vizuri kama vile wewe huchepukagi. Au ndio mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu. Ukiona mwanamke amechepuka ujue wewe mwanaume ndio tatizo. Hata ukimwacha ukioa mwingine atachepuka tu maana wewe tatizo lako utakuwa hujalijua na kulitatua.
  8. Endeleaaa

    Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

    Kwa kuongezea tu FAKE ni nakala ya kitu halisi ambayo imetolewa bila kibali cha mwenye kile kitu halisi. Mfano ukinunua sony Tv ambayo haijatoka kiwanda cha Sony hiyo tunasema ni Fake. Hata kama ina ubora kama ule wa Sony Og.
  9. Endeleaaa

    Ni ngumu sana kuwa msemaji wa Simba chini ya CEO Barbara

    Mwanaume.mzima ana mind kutoambiwa Happy birthday duuh. Huo ndio utoto wenyewe sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Kaanzie kwenye masoko madogo kariakoo ujr umeshakua kibiashara
  11. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Kama huna biashara yenye mauzo ya 12m kwa mwaka unafanya nini huko Kkoo nenda kwenye maeneo ya biashara za mzunguko mdogo
  12. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Hata anaetandika chini lazima alipe kodi kulingana na faida anayoipata hapo chini.
  13. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Mbona simu zinaharibika na bado unanunua[emoji23]
  14. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Unaelewa maana ya "Wote"
Back
Top Bottom