Recent content by end justify means

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi front desk officer position

    Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo. Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza na Tandale Tanesco. Tunapenda kutangaza nafasi moja (1) ya kazi nafasi ya FRONT DESK OFFICER...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kusimamia apartments Arusha

    Natafuta Msimamiz wa apartment Iliyopo Arusha Sakina. Mwenye uwezo wa kufanya majukumu yafuatayo. *Kupokea wageni na kuhakikisha wanapata huduma zote zinazo tolewa kwenye apartment yetu kwa muda sahihi. *Kufanya usafi ndani na nje ya apartment kila siku kuhakikisha wageni wanakaa mazingira...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki (EAGC) linapenda kuwakaribisha wafanyabiashara wa nafaka kwenye Safari ya kibiashara nchini, Rwanda

    Uko sawa kabisa safari ni kwa watu 20 tumekodi gari, Dar Mpaka Kigali, hapo hapo kuna gharama za ukumbi pamoja na mlo wakati wa vikao..
  4. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki (EAGC) linapenda kuwakaribisha wafanyabiashara wa nafaka kwenye Safari ya kibiashara nchini, Rwanda

    Sasa ww ulikuwa unatakaje...? 350000/= nauli kwenda kurudi Rwanda kukaa siku 4, Kuzunguka kwenye makampuni mbali mtu unageuzwaje fursa...?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki (EAGC) linapenda kuwakaribisha wafanyabiashara wa nafaka kwenye Safari ya kibiashara nchini, Rwanda

    Habari, Kwa heshima kubwa Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki (EAGC) linapenda kukuwakaribisha ewe wafanyabiashara wa nafaka kujiunga na Safari ya kibiashara kuelekea nchini, Rwanda, Kigali itafanyika tarehe 30-31 Oktoba 2018. Safari hii ya kibiashara inalenga kupanua fursa za biashara...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vietnam Airlines, tuna cha kujifunza toka kwao!

    Umeanza vizuri mara umepotea
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya wabunge waliofanya vizuri kwa mwaka huu 2016

    Lazima wakati unaitaja iyo kumi bora lazima uwe na creteria ambayo itakuguide kwenye kuchagua hiyo kumi bora
  8. E

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga ashinda kesi dhidi ya UDOM, kurudi chuo Rasmi

    Hili andiko tuu i can understand how smart this guy is Mungu akutangulie
  9. E

    JamiiForums Tanzania TCRA: JamiiForums haifuati masharti kama mitandao mingine, mitandao isiyofuata masharti tutaifungia

    Am speechless.. labda baadae nitaweza kuongea.. Na hisi nikitoa ya moyoni kesho nitawekwa ndani..
  10. E

    JamiiForums Tanzania Barua kwa UN kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

    Wanapokea nyingi sana ikiwemo pamoja ya yakwake
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga amrithi Migiro Ukatibu wa NEC CCM

    Nadhani kama ulikuwa unawaza kwa sauti swali la msingi sio wanajeshi wataliweza siasa ni wanasiasa waliojeshini wataweza jeshi kweli?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mzee Mwinyi anaonekana kijana kuliko mimi, siri aliyonipa ni lazima niwe na wake wawili

    Jiwe limetupwa gizani ujumbe unamwenyewe na kasha sikia ya ngoswe mwachie ngoswe
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya AQUA iliyoleta ukakasi ishu ya Dangote ni ya nani?

    Mara nyingi kampuni utakuta sio ya mtu mmoja na saa nyingine ni watu wa kawaida sana sema tuu wako watu nyuma ya pazia tusio wajua
  14. E

    JamiiForums Tanzania Africa Must be colonized again; kuna mtu bado anapingana na Trump

    Hata tusipo baki salama upuuzi huu ukiendelea nani kakwambia utabaki salama
Back
Top Bottom