Kumi bora ya wabunge waliofanya vizuri kwa mwaka huu 2016

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
522
500
Hapa nimekuwekea Top ten ya wabunge waliofanya vizuri kwa Mwaka huu 2016.
Kama nawe kuna wabunge unaowakubali kwa Mwaka huu waorodheshe hapo Chini. comment yako itamfanya Mheshimiwa Mbunge afanye kazi zaidi ili ampiku mwingine katika nafasi hizo na kuweza kuleta maendeleo kwetu sisi wananchi.

1) Hussein Bashe- Nzega Mjini CCM

2) Kassim Majaliwa- Ruangwa CCM

3) Joshua Nassari -Arumeru Mashariki CHADEMA

4) James Mbatia -Vunjo NCCR- Mageuzi

5) Tundu Lissu- Singida Mashariki CHADEMA

6) January Makamba- Bumbuli CCM

7) Zitto Kabwe -Kigoma Mjini ACT

8) Mwigulu Nchemba -CCM.

9) Nape Nnauye- Mtama CCM

10) Martin Msuha- Mbinga Rural CCM
 
GONGA5

Member
Dec 20, 2016
40
125
Kwanza Tundulisu, Mbatia uwatoe kwenye orodha, huyu mbatia mzee wa watu anaumwa ivo atumlaum sana, Ila umemsahau
Mh, Profesa Jay-CHADEMA
Mh, Jafary Michael CHADEMA-moshi (m)
Mh, Ester Bulaya:- CHADEMA Bunda
Mh. Angelina Mabula:- CCM Ilemela
Mh. Wiliam Lukuvi:- CCM&
Mh. Rashidi Abdalla Shangazi:-CCM:- Mlalo.
 
Mhakiki

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
1,631
2,000
Hapa nimekuwekea Top ten ya wabunge waliofanya vizuri kwa Mwaka huu 2016.
Kama nawe kuna wabunge unaowakubali kwa Mwaka huu waorodheshe hapo Chini. comment yako itamfanya Mheshimiwa Mbunge afanye kazi zaidi ili ampiku mwingine katika nafasi hizo na kuweza kuleta maendeleo kwetu sisi wananchi.

1) Hussein Bashe- Nzega Mjini CCM

2) Kassim Majaliwa- Ruangwa CCM

3) Joshua Nassari -Arumeru Mashariki CHADEMA

4) James Mbatia -Vunjo NCCR- Mageuzi

5) Tundu Lissu- Singida Mashariki CHADEMA

6) January Makamba- Bumbuli CCM

7) Zitto Kabwe -Kigoma Mjini ACT

8) Mwigulu Nchemba -CCM.

9) Nape Nnauye- Mtama CCM

10) Martin Msuha- Mbinga Rural CCM
KUMRADHI MKUU UNGEWEKA NA WALIOFANYD VIBAYA NAANZA NA 1.SIXTUS MAPUNDA-MBINGA MJINI.
Jamaa huyu wanambinga wanajuta nami nasema wakome kuchagua watu wa dar ubunge mbinga
 
GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,290
2,000
Mbunge wa mwisho kwangu mimi na daima atakuwa wa mwisho ni william ngeleja mbunge wa sengerema hana halifanyalo kazi kuhudhuria fiesta tu....
 
Siasa Basi

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
1,382
2,000
Katika Wabunge uliowaorodhesha, wafuatao hawajafanya lolote zaidi ya kupiga kelele zisizokuwa na tija kwa wapiga kura wao;
1.Joshua Nasari
2.Zitto ACT
3.Lisu Singida
4.Mbatia NCCR
Kwa vile tu ni wapinzani ndio maana hawafai? Vijana wa Lumumba mna kazi sana, Sijui mnawazia matakoni?
 
TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,276
2,000
Hapa nimekuwekea Top ten ya wabunge waliofanya vizuri kwa Mwaka huu 2016.
Kama nawe kuna wabunge unaowakubali kwa Mwaka huu waorodheshe hapo Chini. comment yako itamfanya Mheshimiwa Mbunge afanye kazi zaidi ili ampiku mwingine katika nafasi hizo na kuweza kuleta maendeleo kwetu sisi wananchi.

1) Hussein Bashe- Nzega Mjini CCM

2) Kassim Majaliwa- Ruangwa CCM

3) Joshua Nassari -Arumeru Mashariki CHADEMA

4) James Mbatia -Vunjo NCCR- Mageuzi

5) Tundu Lissu- Singida Mashariki CHADEMA

6) January Makamba- Bumbuli CCM

7) Zitto Kabwe -Kigoma Mjini ACT

8) Mwigulu Nchemba -CCM.

9) Nape Nnauye- Mtama CCM

10) Martin Msuha- Mbinga Rural CCM
Kwa hii ORODHA yako uliyepatia ni Bashe, Lisu na Mbatia pekee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom