Recent content by emres

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuunda kampuni hizi hapa, miliki kampuni sasa

    Shukran sana mkuu kwa elimu hii muhimu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Unafahamu kweli ulichoandika hapa?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aguswa na utendaji wa JWTZ, amwaga vyeo na ajira

    Ila pia kaula maana kupata cheo cha brigedia sio mchezo. Unaweza kuwa na sifa na bado usikipate. So kwake imekuwa shortcut Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Unapatikana wapi mkuu. Nataka unirekebishie hizi kilomita nikaiuze kwa wenye pesa za korosho huko kusini
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Uzi una mwezi mmoja tu tangia ianzishwe ila imekuwa ndefu balaa. Lakini pombe inaleta watu pamoja... Wote ni WALEVI bila kujali kanywa pombe ya aina gani... Akinywa Balimi..............ataitwa Mlevi Serengeti........ataitwa mlevi Gongo.............ataitwa mlevi Dompo.....................mlevi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    The best advice ever, Mtoa mada ukishasoma huu ushauru ishia hapa hapa usihangaike kutafuta ushauri mwingine.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unachokimisi kutoka kwa EX wako?

    Wewe sema tu gari unaeleweka.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unachokimisi kutoka kwa EX wako?

    Hii itakuwa ya walimwengu wana mambo
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unachokimisi kutoka kwa EX wako?

    Mapenzi bana, kwa nini Leo mmekuwa ex??
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kupigwa kwa Mwandishi wa Habari: Naweza kuwatetea Polisi

    Sasa unadhani kazi ya aina hiyo atafanya mtu mwenye division one?? Hiyo kazi ni ya hao hao unaowaona wamefeli. Tena wanaifanya vizuri, kama ni kipigo wanakupa kipigo cha maana. Wenyewe wanasena NGUVU NYINGI AKILI KIDOGO
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mume anahitajika

    Na wewe ndo umeandika nini sasa, kwani mtu wa JF sio wa maana..!!!!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mke/mume na mchepuko; tupeane uzoefu binafsi

    Hata akihongwa bada hawajielewi....
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mke/mume na mchepuko; tupeane uzoefu binafsi

    Bado anasuasua, endelea na dozi inayofuata mkuu
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mke/mume na mchepuko; tupeane uzoefu binafsi

    Uwezekano wa kuoa mchepuko haupo. Mbona huwa tunalinganisha nyama ya mbuzi na nyama ya kuku na wanyama wenyewe ni tofauti kabisaa.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mke/mume na mchepuko; tupeane uzoefu binafsi

    Kweli kabisaa mkuu. Wife akitoa ushirikianao wa maana wala hakuna haja ya mchepuko. Kwa kifupi mchepuko ananufaika kwa sababu ya udhaifu wa wanawake walioko kwenye ndoa zao.
Back
Top Bottom