Recent content by Empolite

  1. Empolite

    Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

    Kwahiyo mpaka leo bado upo busy?
  2. Empolite

    38 years man, single and searching

    Engineer English inaweza kukunyima mke[emoji3][emoji3]
  3. Empolite

    Wamasai Waliokamatwa Ngorongoro wafunguliwa Kesi ya Mauaji

    Mnatuchanganya hata hatui tushike lipi
  4. Empolite

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Huyo jamaa ana roho mbaya sana. Ila pole kwa yote
  5. Empolite

    Tembo wameniathiri baada ya kuvamia mazao. Naomba ushauri wa biashara

    Siyo lazima utafutie kijijini kwenu hama, tafuta mahali penye mzunguko mkubwa wa pesa anza biashara hapo lkn huko usangini na ugwenoni kutoboa ni ngumu kwasbb wapo nguli ambao wnana kujua abc zako
  6. Empolite

    Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

    Pole sana ndugu lkn ningekushauri upotezee tu inakupa heshima na baraka zaidi.
  7. Empolite

    Makosa kwenye kuchagua Wachumba yanavyotugharimu sana

    Issue ya mahusiano haina formular ndugu , labda Kama hao wazungu umehadithiwa tunna huja ishi nao. wanachangamoto nyingi sana Kama waafrika tu na inaweza kuwa wao ni zaidi ndiyo maana wakaona wawe na ndoa zamikataba.
  8. Empolite

    Gari kuzima relini

    Umeandika upuuzi mtupu nothing else.
  9. Empolite

    Nimesahau mzigo ndani ya basi

    Pole kwa usahaulifu, kupotea, kusahau na kuibiwa ni jambo ambalo hutokea pasipo kutarajia (accident). Kama umefanya juhudi zote hizo na bado hujafanikiwa nikushauri tu jifunze kuachilia na kuendelea na maisha mengine.
  10. Empolite

    Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

    Acha kazi uone vile kazi kupata kazi
Back
Top Bottom