Recent content by emperor mo

  1. emperor mo

    JamiiForums Tanzania kitabu cha morals and dogma by A.Pike

    ivyo vingine navipataje mkuu,mana hata hichi cha pike chenyewe kukipatani mbinde
  2. emperor mo

    JamiiForums Tanzania kitabu cha morals and dogma by A.Pike

    habari zenu, ningependa kufahamu wangapi wameshakisoma hicho kitabu na walitumia mbinu gani kukielewa na waliokota nini humo,Mimi ninayo copy yangu Ila inaniwia ngumu sana kuelelewa
  3. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sala za mabinti wa kilokole wanaotafuta wachumba

    ninecheka sana hapo pa "teeeenda miujiza" yani Niki imagine siishiwi kucheka
  4. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha dada mmoja aliyerubuniwa na mwanaume Dar

  5. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kwa huyu mtoto?

    nikweli kabisa,sio drugs tu atarudi akiwa hana upendo na babaake yeye ni marafiki zake tu wa states tena kama Huyo ndugu atakua amepigika ndio atamzarau kabisa,mtoto mlee ktk njia impasayo akiw MTU mzmima umpeleke sasa states mana pia hujui atapa uangalizi gani huko kama anauwezo wa kimtunza...
  6. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    sawa mkuu
  7. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    ndo ivo asee na mm mdogoako yamenikuta
  8. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    sio mwiko,ni kwamba tu napaswa kuchagua moja kulingana na kamtaji nilikokua nako,nikawa nimeshindwa nianze na lipi
  9. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    sawasawa mkuu
  10. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kujua nichague yupi

    ndugu usimjudge MTU kwa physical appearance kwani hiyo hubadilika sana,utamuoa uyo mwenye inye halafu akishazaa utamchoka tu na utarudi kwa vimoso,SAA iyo haeleweki ni yuko Ka michelin hamu itaisha tu, kuna Dada hapa jirani ni moja kati ya wanaotingisha mtaa kwa uzuri,Ila hiyo ni baada ya...
  11. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    shukrani
  12. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    Ila sasa itabidi nisubirishe sasa sijui kwa mda gani
  13. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    nimekupata mkuu
  14. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    mi enyewe nilicheka sana,ikabidi nimalizie tu "mi nna buku"
  15. emperor mo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba amepata mimba na mimi najenga

    kwa pesa nilionayo siwezi Fanya vyote kwa wakat mmoja lazima nichague moja
Back
Top Bottom