cindy mopao
Member
- Sep 5, 2015
- 54
- 24
kwani hizo amri kumi zipo agano jipya au LA kale,zenyewe mbona unashika,au unadai kushika
Endelea kuamini unachoamini wewe na unachoona ni sawa.nafunga mjadala
kwani hizo amri kumi zipo agano jipya au LA kale,zenyewe mbona unashika,au unadai kushika
Habari zenu wadau,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,ninamchumba wangu ana miaka 20 tunapendana sana lakini hivi majuzi ananiambia hajidikii vizuri na hajaona siku zake ambazo hua zinawahi lakini Leo ndio alitakiwa apate hedhi.
Anadai ana mimba yangu lakini changamoto inakuja kwamba Mimi naishi na wazazi na ndio nimeanza kuchimba msingi nijenge na nilimwambia asubiri nijenge niende kwao lakini sasa majukumu yamekua mawili nashindwa nifanyeje, nimwambie aende kwao ili nimalize ujenzi au nipange chumba nimuoe kabla mimba haijawa kubwa ujenzi usubiri.
acha bangi, acha viroba acha na uzinzi
Agnessjuma nakutaka!Hahajahahahaaahaaaaa vijana wakiume bhana
kwani wewe umejipangaje?
mi sjaona uhusiano bado. ko ukijenga na akiwa na mimba nini kinatokea au ni mwiko kwenu?
kwani wewe umejipangaje?
Hahahahahahah mkuu nimecheka sanaaa
mkuu uliweza kuchagua ua moja kati ya maua mengi Tanzania ambalo ndo huyo bint mjamzito sasa kuchagua kitu kimoja kati ya viwili sijui nn kinakushinda....
uhai ni muhim zaid ko chagua mimba
Hongera kwa kuanza ujenzi ukiwa na umri mdogo..
Ndo dhamira niliyogundua
Hongera kijana..