Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Ulizani ndo njia nzuri haaaaaaa Ã-Â-½Ã-± ww chukua mchumba utajenga tu
mi sjaona uhusiano bado. ko ukijenga na akiwa na mimba nini kinatokea au ni mwiko kwenu?
Bora ww ndo mimba bado ndogo mm ilinikuta mafundi wanajenga hrf mtu anapelekwa hospital kujifungua balance niliyoweka haikutosha ilibidi nizuie mafundi kujenga nimalize tatizo daaaah nilidata
nimekua nikilinfa zile Siku salama na sikutegemea hill kwa sasa,na yeye ni kama amefurahia iyo hali hata dadaake ananichangamkia kuliko awali,sikuwa napanga kujenga ndani yake
kama unampenda mkuu fanya maamuzi yenye busara sana....!!!!