Recent content by emmilyn09

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

    hivi inakuaje kwa mfano mtu una mpnz wako afu mnagombana mara kwa mara halafu hata kama una hasira ye anataka mfanye huku mmegombana yani imefikia point mmekwazana na mmeafiki kuachana unamuomba akuletee vitu vyako uliviacha kwake anakubali kuleta then baada ya kukuona tu badala akupe mzigo wako...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mpenzi nilie nae

    Duh kama nimekuelewa vile..haiwezekani mtu 3 yrs ukae tu unavumilia hayo mapungufu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Simwelewi mpenzi wangu

    hivi kama humtaki mtu si umuambie tu kistaarabu kama ulivyomtongoza ndo umwambie ukweli kuliko kumfanyia visa inauma jama..wanaume kuweni na huruma wenzenu tukipenda tunapenda kweli nyie mnatamani tu mkishaonja mpiko mnasepa kimya kimya khaaa hivi hamjui uchungu wa mapenzi? mwaya huyo mtu ndo...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

    Kama japharay na shai Rose bhanji
  5. E

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini wadada wengi hupenda mabwana wa Kisukuma?

    Akhuuu...wana wivu afu wanapiga hao.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Single Women Only

    Mshahara wako unaanzia sh.ngapi????
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nishaurini jamani, Nimezaa watoto watatu kwa wanaume wawili.

    Dah pole sana sister Muombe Mungu tu atakusaidia...ila ni ngumu sana kupata mume ukiwa na watoto mimi nina mtoto mmoja tu lkn mpaka sasa sijapata mume na ukiniangalia hadi nikwambie nina mtoto tena wengi hawaamini coz hata Kifua changu bado kibichi utadhani sijanyonyesha...ila sijakata tamaa coz...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wakina kaka tu

    Mi nna 26 nimezaa nikiwa na 21 na sijabahatika kuolewa so naweza kosa mchumba kwa sababu tayari nimezaa? So nikifika 30s sijapata mume
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    my dia niko kwenye mahusiano na mtu ambaye alitendwa kama wewe unavyotaka kumtenda lecture...sasa mwenzio sa hv analazimisha kurudi kwa nguvu kule alikoenda kashaumizwa hana pa kukimbilia karudi huku kakuta watu tumesha cover wats goes arround comes arround.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Eti mazoezi ya JKT yametoa bikra yake

    Kwikwikwiiiii..
Back
Top Bottom