Shina la mahusiano ni mawasiliano kati ya wapendanao....ndio maana kila siku tunaweka xtreem katika visimu vyetu ili tupate kuwasiliana na wale tuwapendao.....
Sasa ikiwa mwenzio hataki mawasiliano na wewe lazima kuna jambo na sio dogo.....
Jambo la msingi ni kumtafuta ana kwa ana na kulizungumzia kwa kina.....
Otherwise chapa lapa
Umetemwa mdogo wangu, Jikaze usimpigie tena wala usitume sms ukiwezekana namba yaki iblock.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Haaaahahaaaaaa........hamna dada si unajua kuishi kwingi ndio kuona mengi....na tuyaonayo ndio yatufunzayo.....kwema lakini.....???habar ya asubuh mkuu sijui umepata chai ya nini maana naona madini tu yanatoka
Haaaahahaaaaaa........hamna dada si unajua kuishi kwingi ndio kuona mengi....na tuyaonayo ndio yatufunzayo.....kwema lakini.....???
Habarini wana JamiiForums.
Nina mpenzi ambae mwanzoni tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea.
Hivi sasa amebadilika sana kiasi kwamba nikimtumia sms hajibu,anakaa kimya,nikimpigia anasema yupo bize au amelala amechoka.nikimuuliza sababu ya kuwa kimya hatoi jibu.
Anapotezea mwezi umeshaisha na hal hiyo bado inaendelea nifanye nini wadau.
Ni furaha yangu kusikia hivyo....Kwema ndugu yangu
Una umri gani?
Sipati picha unavyolia lia.
Hivi usiku unalala kweli?
Ni furaha yangu kusikia hivyo....
hahahaa easy homie, the baby just got jilted!! tehetehe
Somo nimeshalimaliza tangu asubuhi....nimekuachia wewe.....umfunde mwali....Bas sawa endelea kumpa somo huyu asomuelewa mpenzi wake