Recent content by Emmanuel2011

  1. E

    PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    Mkuu wewe kama wewe embu tusaidie kidogo ungetumia busara gani?
  2. E

    Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

    Ila kiukweli CHADEMA mnaroho ngumi, mnapiga kona wenyewe halafu mnawahi kufunga wenyewe. Mepumbaza wana arusha mna mkanda mnamkanda na mageneza ya mliowaua mebeba ili tu kupata mlichokipata. Lakini sishangai. Ukiona chama kina mtu ambae uongozi wa kiroho ambao alikubali mwenyewe kwa hiari yake...
  3. E

    Dr.Mwakyembe hachafuliwi kwa Propaganda za kambi ya mafisadi

    Mimi sishangai viongozi wa chadema kukurupuka. Mpaka leo tunasubiri video ya wahusika wa bomu. Inamaana hata mwenyekiti wa CHADEMA nae anawalinda waliohusika na kulipua bomu? Kisa Rais hajaunda tume?
  4. E

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Mimi sidhani kama kagame anaweza kuwahakikishia urahisi wa biashara wafanya biashara wake kiivyo. Ni kwamba hapo mwanzo kilichowafanya wakawa wanatumia bandari ya Dsm ni kitu gani? Sasa wajidai wanajitoa, kiukweli hakuna mfanya biashara anaehitaji ucheleweshwahi wa bidhaa zake, kilichopo ni nchi...
  5. E

    Wapenda amani nchini kumtetea mahakamani Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Pinda

    Mimi naona kauli ya PM imenyooka na inaeleweka, ila kama umeiachia na umeipa uhuru akili yako ielewe kauli hiyo. Ila kama imeifunga akili yako kwaajili ya kupinga kila kinachozungumzwa basi utaona ni kauli mbaya. Mimi nisinge penda mtu ashikilie neno WAPIGWE, itakua vizuri ukitamka kama alivyo...
  6. E

    Je jeuri ya Ponda ni udhaifu wa Rais Kikwete? Mbona 2000-2005 hakua na jeuri na kiburi hiki?

    Ndugu zangu waislam na nyie muende shule sasa, nimekaa znz nimejionea maajabu. Mtu anasoma anaona shule ngumu anasema bora nikasome madrasa. Yaani elimu ambayo wanaita elimu dunia wanaona kama haina umuhimu. Kwanini msiige mfano wa DR. SULEE? Anaijua elimu dunia vilivyo. Na dini anaijua pia.
  7. E

    Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

    Hamna wana harakati hapo. Hizo harakati zao ni njaa. Wanachagua matukio. Siwapend hawa watu kinyama.
  8. E

    Risasi zarindima TABATA UWANJA WA TWIGA Majambazi yaua Mfanyabiashara...!!!!!

    Binary bila shaka kama sio mwana mke basi ni mwanaume ambae hujakamilika. Niambie katika miaka yote nani amejitahidi kipambana na majambazi? Utakua unasema huku hujielewi.
  9. E

    Sababu kubwa ya baadhi ya wanachi wa DSM kuogopa mageuzi

    Ukweli ni kwamba DSM kuna mchanganyiko wa makiba mengi sanaaa. Kuliko mikoa mingine yeyote. Halafu usisahau kuishi DSM pekeyake ni form Six, kwahiyo watu wa DSM wanaupeo mkubwa sana wakimaisha kuliko mikoa mingine. Na hata ukiangalia dhumuni la mtu kuja DSM nikutafuta. So watu wa Dsm hawawezi...
  10. E

    Hongera kwa jeshi la Polisi

    Kiukweli mtu kama ponda mteteeni ila madhara yake mtayaona tu. Wekebi siasa pembeni. Sio kila jambo ni lakubeza polisi jamani. Nchi za wenzetu wanaumia kwasababu yakuwaendekeza watu kama ponda. Nawahasa watanzania wenzangu.
  11. E

    Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

    Huku kwetu jogoo chadema walitapakaza sumu kali ya kwamba kuna eneo lipo hapa eneo la uwanja kua lilikua ni open space likauzwa na viongozi wa CCM, lile eneo kunavijana walikua wanalitumia kucheza mpira pia kina mambo yao mengi walikua wanafanyia. Chadema wakagundua tukisambaza sumu hii kila...
  12. E

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Kalokola akili yako ipo matakoni.
  13. E

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    CHADEMA hawana lolote. Huko ni kupungukiwa na nguvu. Jiandaeni kupotea. 2015 ndo mwisho wenu.
  14. E

    Msimamo wa Joyce Kiria baada ya kushauriwa amwambie mumewe aachane na siasa

    CHADEMA kwakusifiana ujinga. Hawajambo
  15. E

    Taarifa kwa umma: CHADEMA yaitisha kikao cha dharura cha kamati kuu 6 - 7 Julai 2013.

    Wewewewe wamjadili Mbowe? Hawajitaki? Hahahah watatimuliwa wote abaki peke yake. Hahhaahh usilete mchezo na Mbowe ni mafya. Hapo wanaebda kumpongeza kwakufika ikulu bila wao kujua. Hahhahah Ila Mbowr jembe haha. Kaona angemtaarifu katibu wake kama anaenda ikulu wangeleta ubishi wao. Akahamua...
Back
Top Bottom