Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

Mods na Invisible, hivi criteria ya mtu kuwa JF Senior Expert Member ni ipi? Waliberali kama hawa nao wanastahili sifa hizo?...pls assist...

Mkuu Ilboru usiogope ni mawazo usiyoyataka ww ila yatachukuliwa na wajumbe wa mabaraza ya katiba.
Wenye Imani kali huenda ni Wasabato.
 
Je hatima vp? Huku kata ya mbezi juu (mbezi beach) CHADEMA imechikua uongozi wa serikali ya mtaa wa Jogoo kwa kishindo kikuu.
 
Je hatima vp? Huku kata ya mbezi juu (mbezi beach) CHADEMA imechikua uongozi wa serikali ya mtaa wa Jogoo kwa kishindo kikuu.

Nguvu ya umma yaloa chepele Dar es salaam wawakataa Chadema kati ya mitaa nane CCM imeshinda mitaa saba CDM mtaa mmoja tena kwa kuiba na kati ya wajumbe kumi na tisa CCM 19 na CDM 0! Peoplesssssssssss!
 
Big up sana kwa watu wa MBEZI BEACH.jamani hata usingizini haiwezekani mkazinduka wote kwa pamoja.Watu wa mbezi beach nyie mmeshaamuka,hongereni sana.
 
hongereni sana watu wa mbezi bichi kwa kuanza kuonyesha njia kwa dar.
 
Huku kwetu jogoo chadema walitapakaza sumu kali ya kwamba kuna eneo lipo hapa eneo la uwanja kua lilikua ni open space likauzwa na viongozi wa CCM, lile eneo kunavijana walikua wanalitumia kucheza mpira pia kina mambo yao mengi walikua wanafanyia. Chadema wakagundua tukisambaza sumu hii kila moja aliekua natumia ule uwanja ataichukoa CCM, wakawaahidi wakishinda aneo linarudi kwa wananchi. Ukweli ni kwamba hawawezi lirudisha kwasababu lile bi eneo la mtu na ana doc. Zote ila alihamua kuwaachia vijana watumie siku akilihitaji atatumia. Sasa tuone ilo eneo litarudi kwa wananchi? CHADEMA wanasumu kali sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom