Wameweka taa ndio maana ajali zimepungua kabla ya taa ajali zilikuwa nyingi sana, hilo lori lime fail break ukizingatia pale kuna muinuko mkali buzuruga -national pale
Ninachoenjoy n kwamba kila mtu anambinu zake za kujikinga africa maana hata wao waliouleta china hawajatoa mbinu zao hadharan mpaka ugonjwa unaisha china, vip mataifa yaliyopukutika kama majan ital marakan na mengine kikubwa uhai tu Africa lazma tusimame kivyetu vyetu
Unachotakiwa ukijue...
Hii kazi yake ni kudownload picha za status bila kumwambia muwekaji nitumie yani kama video n haraka sana na post zote za instagram pamoja na fb ni vyoTe yan picha na video
Ni support yenu ya hali na mali ndiyo inayohitajika kwa sasa wadau wa jukwaa la JF.
Maelezo:
1. Nenda kwenye google play store kisha andika WIFA kwa herufi kubwa
2. Bonyeza install ianze kuingia kwenye simu yako (ina ukubwa wa 5Mbs) haiwezi kumaliza data zako
3. Ifungue kisha utaona option...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.