Recent content by Emmanuel simon

  1. E

    Barua ya diwani wa CHADEMA aliohamia CCM Arumeru aomba kurudi CHADEMA

    Kwani CCM ndiyo waliyomtuma ahame,si alihama mwenyewe baada ya kuona Chama kina MWENYEKITI HANA UKOMO WA NAFASI HIYO. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Sikujua kama wasemaji wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa na Makongoro Mahanga

    Mwananzuoni mmoja anasema kwa hapa Afrika ukitakapesa au utajiri wa haraka ingia kwenye SIASA TU.
  3. E

    Sakata la Rambirambi Arusha: Lema aibuka na tuhuma mpya

    Ndiyo maana alinyimwa nafasi kwani walijua ataanza kujinadi badala ya msiba sasa kaibuka kivingine.
  4. E

    Huyu hapa Jesca John Magufuli

    Mwee mwee mwee
  5. E

    Hii picha inaongea mno. Hatuhitaji kuambiwa kabisa

    Ninawasiwasi na nguvu za hawa watu wawili kiutendaji nachelea kusema wamechoka hivi hakuna vijana wengine wenyekuweza kushika nafasi zao kwa maana kwa muonekano wa hii picha mimi nasema hakuna la ziada na ninadhubutu kusema inatosha na wanahitaji kupumzika jamani.
  6. E

    Mtakaofutwa kazi kwa vyeti feki nendeni Mahakamani

    Uko sahihi na hata mimi nimekuwa nikiwaambia hao wanao jua wizi wa elimu ya mkuu wa Mkoa husika nendeni mahakamani si ushahidi mnao unaogopa kufika mbele ya mhimili huu na kumfungulia mashitaka.
  7. E

    Tuna kazi moja tu!!..Kuiondoa CCM madarakani! Kura zetu ndio Nguvu yetu!

    Kwa matokeo ya UYUI Tabora vijiji 14 CCM na 1 CHADEMA, 51 VITONGOJI CCM na 7 CHADEMA.Kwa aina hii ya matokeo nasema bila kumung'unya maneno KAZI IPO NA SAFARI BADO NGUMU KWA UPANDE UPINZANI TANZANIA.
  8. E

    Kubenea uko wapi, rais anakutafuta kwenye Uzinduzi wa Hostel Chuo Kikuu

    Nijambo zuri hususani kwa Waafrika ukitembelewa na mgeni kwenye mji wako na wewe mwenye mji uwepo au ukawepo. Labda Mbunge wetu awealikuwa na kazi nyingine za ujenzi wa Taifa kinyume cha hapo sioni hasa lengo la yeye kukosa kwenye uzinduzi wa mambo ya maendeleo kwenye jimbo lake,tukumbuke...
  9. E

    Hoja ya Mbowe waliyoidharau wabunge wa CCM imeanza kupata majibu

    Ni uhalifu na wahalifu kama wahalifu wengine na si KIGEZO cha kusema nchi si salama kikubwa tu ni kwenda kwa nguvu zote kwenye haya mapori ya mkuranga na kufanyausafishaji wa nguvu juu ya hao VIBAKA na majangili.
  10. E

    Nguvu na Kelele zote za Watanzania Roma Umeshindwa kusema Ukweli?

    Lakini sijapata kujua mpaka sasa kwani wengi wetu tulitegemea ukweli gani au upi kutoka kwa wahanga.Ila pamoja na kudai vyeti kutoka kwa mkuu wa Mkoa lakini mimi nasema huyu jamaa ni jiniasi ALIVYOTAMKA MPAKA JUMAPILI WATAKUWA WAMEPATIKANA KWA IMANI WABAYA WAKE WAKASEMA HAPAHAPA NA NGOJA...
  11. E

    Nape ulipigania chama kwa msukumo wa posho nene uliyolipwa na si kutokana na mahaba ya dhati kwa CCM

    Kocha mzuri mara nyingi kabla ya timu yake haijaingia uwanjani husisitiza jambo la kucheza kitimu na pia huwaelekeza aina ya mfumo wa uchezaji ukiwa uwanjani mnaotakiwa kuucheza au kuutumia mkiwa uwanjani,sasa niambie nini hatima ya mchezaji anayecheza tofauti na maelekezo yake kocha ni...
  12. E

    Nape ulipigania chama kwa msukumo wa posho nene uliyolipwa na si kutokana na mahaba ya dhati kwa CCM

    Hapana na suala la kutumbualiwa huweza kumtokea mteule yeyote yule na wala si kitu kigeni,kubwa ninaloliona hapa kunawatu walishajiona kama wao ndiyo wenye Chama kwamba hata akienda tofauti na aliyemteua hawezi kumfanya kitu,lakini kwa hili nampongeza mkuu wa kaya kuonyesha uimara wake katika...
  13. E

    Kamanda Sirro: Kama kuna kiongozi alitaja siku watakayopatikana akina Roma, mulizeni yeye

    Siyo zero huyu Mh.anajua figisu figisu zote za watoto wa nyumba ya pili
  14. E

    Kamanda Sirro: Kama kuna kiongozi alitaja siku watakayopatikana akina Roma, mulizeni yeye

    Wanasema huyu mwenye jina la mji fulani hivi kutoka Italy wapo Osterbay na wenzake wakitoa maelezo.
  15. E

    Mchakato ubunge Afrika Mashariki: Ona mchakato wa CHADEMA hapa

    Jamani kwani mtoa uzi kunamahala kakosea?kama kakosea ni wapi?na kama yupo sahihi kwanini tusiungane nae ktk kuhakikisha suala la democrasia lisiwe kwa serikali tu bali hata vyama vyote vya siasa hapanchini vizingatie hilo.
Back
Top Bottom