Amekosa hata shilingi mia 5 ya kuprint hiyo barua yake? kweli CCM ni janga.
Okey
Usijali itajulikana tuuTutajuaje kama ni ukweli ndugu au imetengenezwa? Audio au video akihojiwa nadhani ingeweka mambo clear zaidi...ila kama ni kweli na Chadema wakiamua kumpokea nitawashangaa sana
Huyo Diwani amekuwa Okwi. Chadema mmemununua sh. ngapi. Kwani alipohama Chadema kwenda CCM mlidai alipewa pesa sasa amerudi Chadema amenunuliwa sh ngapi ?Wewe ni mke wa Diwani huyo mpaka ukane kwa niaba yake? barua kaisaini na hajakana kuwa kaandika yeye. Acha uzwazwa ndugu
Mhere, haya ni ya kweli? Au ni gheresha! Barua ya ofisi imefikaje mitaani.
Nadhani ni baada ya kuidharau kuwa haiwezi hata kuwekwa katika file bali katika dustbin.Mhere, haya ni ya kweli? Au ni gheresha! Barua ya ofisi imefikaje mitaani.
Aiseee....sasa mtu kama kaandika barua wewe unataka clip,unataka hiyi barua ndo ianze kuongea au.....si usubiri ukweli utajulikana tu muda si mrefuHaya kama ni yeye mbona hajatangaza kama alivotangaza kua anahama kichaka hiko cha mafisadi na watetea mabepali? Kama ni yeye weka clip au sauti yake apa.. mwafa nny na mbinu zenu za darasa la pili
Then that is not the right approach!Nadhani ni baada ya kuidharau kuwa haiwezi hata kuwekwa katika file bali katika dustbin.
Sanduku la Posta kwani alikuambia alikuwa anaenda kuipost ipelekewe kwa posta?MKUU UNAWEZATUAMBIA SANDUKU LA POSTA HAPO KTK BARUA IMEANDIKWA NGAPI?