Hii picha inaongea mno. Hatuhitaji kuambiwa kabisa

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Mimi nimekubali kuwa .... Ni leo pale Maalim Seif alipomtembelea Lowassa.
C_Ji7SCXoAAANdN.jpg
 
Hivi maalim Seif ana umri gani? Mimi nadhani alipofikia panamtosha... Sasa arudi kijijini kulea wajukuu... We mtu tangu mwaka sabini unautafuta urais hadi leo tu hujachoka? So far alipofikia kwenye umakam sio pabaya... By the way kipindi cha utawala wake hakukua na mabadiliko ya maana kwenye maisha ya Wazanziberi, hata akiupata huo urais wenyewe, hakutakuwa na cha maana atakachofanya zaidi ya kuiburudisha nafsi yake...
 
Tanzania bana kila mtu anajifanya bora mahalim amedanganywa nini sijui hivi wewe mahalim wewe ni muhislam safi sala tano lakini mbona umuwogopi mungu wako unakumbuka pale mwenbe yanga temeke Huyo mwezio mulimwita jina gani wallahi kila jambo LA kheri linatoka kwa mungu na kila jambo LA Shari linatokana na nafsi yako mfano huu ni kama mahalim kukosa uraisi visiwani na Hugo mweziwe kakosa uraisi bara wallahi m/mungu ni mkubwa
 
Ninawasiwasi na nguvu za hawa watu wawili kiutendaji nachelea kusema wamechoka hivi hakuna vijana wengine wenyekuweza kushika nafasi zao kwa maana kwa muonekano wa hii picha mimi nasema hakuna la ziada na ninadhubutu kusema inatosha na wanahitaji kupumzika jamani.
 
Tanzania bana kila mtu anajifanya bora mahalim amedanganywa nini sijui hivi wewe mahalim wewe ni muhislam safi sala tano lakini mbona umuwogopi mungu wako unakumbuka pale mwenbe yanga temeke Huyo mwezio mulimwita jina gani wallahi kila jambo LA kheri linatoka kwa mungu na kila jambo LA Shari linatokana na nafsi yako mfano huu ni kama mahalim kukosa uraisi visiwani na Hugo mweziwe kakosa uraisi bara wallahi m/mungu ni mkubwa
Maalim.ni chadema nn?
Acha kupotosha umma hata kiswahili haujui
 
Hivi Kamanda Lema si alisota rumande miezi 4 kwa kumtabiria kifo Bwana yule?

Hivi kwa nini Jeshi la Polisi halimdaki mtu huyu kwa kuwatabiria vifo Maalim na EL?

Kama mtu huyu hatadakwa basi tutajua kuwa kumbe Jeshi letu la Polisi linafanya kazi kwa DOUBLE STANDARD ya hali ya juu!
Kutabiri kifo sio kusema utakufa kwa sab kila kiumbe kitaonja mauti kosa ni kusema au kutabiri utakufa lini kwani kufanya hivyo kunaashiria ushiriki wako katika kumuua mtu huyo hiyo siku ikifika au unajua siku ya kufa ina maana watakaomuua mtu huyo unawajua lkn kwa makusudi huendi kuripoti polisi.
 
Hivi maalim Seif ana umri gani? Mimi nadhani alipofikia panamtosha... Sasa arudi kijijini kulea wajukuu... We mtu tangu mwaka sabini unautafuta urais hadi leo tu hujachoka? So far alipofikia kwenye umakam sio pabaya... By the way kipindi cha utawala wake hakukua na mabadiliko ya maana kwenye maisha ya Wazanziberi, hata akiupata huo urais wenyewe, hakutakuwa na cha maana atakachofanya zaidi ya kuiburudisha nafsi yake...
Kuna kitu haujakiangalia kwa jicho la tatu katika siasa za nchi hii.
Kwa mtu mwenye akili za kawaida, mara tu ufanyikapo uchaguzi, namaanisha aina yoyote ya uchaguzi, hata uwe wa kwenye vikoba, ni lazima baada ya uhaguzi mtu hutathimini ana "majority" kiasi gani. Kama akiona hata robo ya kura hakupata, basi huachana kabisa na biashara hiyo.
Hawa mnaowasema, hilo hawalijali, wao wanaangalia maslahi binafsi hasa ruzuku na biashara ya kutumiwa kuvuruga vyama vyao full stop. Wanapata sana hela, hawawezi kuachia, kwa ajili sijui kulinda heshima, hapana.
Heshima yao wanayoilinda ni pesa iendelee kuingia mifukoni mwao na si kingine.
 
Back
Top Bottom