Recent content by Emma Emma

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

    Ahaa!!ni kwel mkuu,,asante kwa correction
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

    Yah!thats true mkuu!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

    Tofauti kati ya Cheetah,leopard na Tiger ni hizi: Cheetah na leopard wametofautiana katika vitu viwili, 1.Cheetah (ndo tunamuita chui na ndiye tumezoea kumuona)ana tears lines kwenye uso wake pande zote kulia na kushoto, 2. ana solid spots(yan yale madoa yake yamekaa moja moja) But Leopard(kwa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Bunge limeazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad si ofisi ya CAG. Ripoti itasomwa endapo haijasainiwa na Prof. Assad

    Sawa na kutaka kutofautisha kati ya mwili na nyama[emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    Hujajua unachokiongea ww,mnapotoshana sana kwa hizo nadharia zenu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    JamiiForums Tanzania UVCCM watangaza vita dhidi ya wanaoutaka Urais 2020...

    Na hilo neno "nafasi"wametamka au kuandika kwa ushahidi ti,hapo maana yake ni usalama wa "Nafsi" yake utakuwa mashakani
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu mbona kila tukikuvisha nguo wewe unazivua!

    Na mi kwa mara ya kwanza nakupa like yangu kwa kumpa like mtu aliyempa like yule aliyetoa like kwa mtu wa lumumba[emoji4]
  8. E

    JamiiForums Tanzania CCM imeongeza Wanachama kwa 91%, kutoka 2015-2018 Nov.

    Kumbe ni wanachama,nilidhani wananchi,,,,kura hazipigwi na wanachama peke yake,rudisha akili yako
  9. E

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Hawa wanataka kuzima isue ya mwendokasi tu,,hawana lolote
  10. E

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kuzungumza na wananchi wa Jiji la Arusha siku ya Ijumaa

    Sasa kwa taarifa yako mi nimeota wewe umekufa,tumekuweka kwenye jeneza then tukawa tunaenda kukuzika,,,,swali je,umekufa kwel hapo ulipo??
  11. E

    JamiiForums Tanzania TID kumburuza Steve Nyerere mahakamani

    Database[emoji23] [emoji23]
  12. E

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Watu wengine bwana,,sasa kama wamemkamata si wametumia nguvu,,kwan kajipeleka yeye mwnyw kama wengn walivyofanya?alisema siendi kwa kauli ya yule KONDA wenu,,hajajipeleka mwnyw,ni polisi ndo wameunguza mafuta ya walipa kodi kwenda kumchukua,,,anyway tunataka chanzo cha habari na sio mtu...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Lissu mwenyekiti TLS ni kuzika lengo la kuanzishwa kwake

    Mbona hamtaki Lema awekewe dhamana?
Back
Top Bottom