Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,979
- 45,866
Very amazing Indeed, sijui hawa watu huwa wanafikiriaga nini.
Alipoingia magufuli na kuanza kufanya mambo yake! Wakaibuka UKAWA na kusema kua anatekeleza Sera zao.Kwamba Magufuli kaamua kuachana na ideas za CCM na kufanya yale ya UKAWA.
Ajabu ni kwamba, anayoyafanya Rais Magufuli yapo kwenye ilani ya CCM na pia katika ahadi zake wakati akiomba kura.
Kinachonishangaza sana tu kuhusu hawa watu ni kwa namna gani wamegeuka ghafla kupinga ideas zao?
Kama Magufuli anatenda waliyokua wanayawaza? Kwanini wampinge?
Au ingekua sahihi kama wao ndio wangekua watendaji wa hayo ila sio yeye!
Hitimisho ni kuwa, kinachoendelea sasa sio kwamba ni kweli wapinzani wanampinga Rais Magufuli kwakua anakosea? Hapana bali wanampinga kutimiza wajibu tu.
Maana hata wao kama wangepata nafasi wangefanya anayoyafanya?