Recent content by Emlth

  1. E

    Ujuzi na biashara ya kutengeneza viatu na sendo za ngozi

    Habari zenu wakuu humu ndani. Kiufupi naomba kufahamu nikihitaji kujifunza kutengeneza bidhaa za ngozi kama viatu na sendo inaweza chukua muda gani, na endapo nikihitaji kuwa na ofisi angalau ya kuweza kutengeneza bidhaa 30 iwe viatu au sendo mtaji wa vifaa vyote vinavyohusika walau niwe na...
  2. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Unapafaham mafyati mwanjelwa? Ile tughimbe ni nn?
  3. E

    Kusafirisha Wasomali

    Habari zenu wakuu. Kuna jambo leo naomba kuskia kutoka kwenu, hasa wenye uzoefu na usafirishaji watu nchi moja kwenda nyengine. Kuna kijiwe huwa nashinda mida ya jioni kupoteza muda baada ya mihangaiko ya siku, sasa kuna mabrother flani deal zao huwa ni kuwavusha wasomali kutoka tanzania...
  4. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Tatizo la huu uzi upo kukejeliana na sio kuonyesha uhalisia,kila sehem ina fursa zake na kila sehemu ina watu wenye uchumi wa ngazi zote
  5. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Naomba unitajie hata matajiri wa3 wa njombe unaaowajua au lete uthibitisho wa hizo ghorofa zilizojengwa na wakinga waliopo dar
  6. E

    Biashara ya lodge na pub

    Watakuja mkuu usijali
  7. E

    Kuweni Makini, kuna aina mpya ya uvamizi ambao umegunduliwa na vibaka

    Mkuu nafikiri hao panyaroad huwa wana silaha mapema,ingelikuwa wanapigana mikono mitupu watu wangewamudu
  8. E

    Kwanini mkoa wa Mbeya?

    Kati ya hayo maswali mimi ntakujibu moja tu, kuhusiana na wingi wa mashahidi wa Yehova kwa Tanzania, Mbeya ni wengi zaidi kwasababu ya ukaribu wake na Zambia, kumbuka kwa AfriKa, Zambia ndio nchi yenye mashahidi wengi wa Yehova, ni zaidi ya laki 4 na wao jukumu lao kubwa ni kuhubiri pengine...
  9. E

    Ngoja niropoke

    Uncle Mshana shikamoo,ahsantee kwa kushare nasi,binafsi unaonaje ni mambo ya kweli hayo au kwa uzoefu wako kuna tofauti gani kati ya hawa intellectual women na wasio intellectual
  10. E

    Ugumu wa maisha! Najikuta kila kazi naitamani huku ndoto za kazi yangu zikipotea

    Kikubwa ni kipato cha halali mkuu, haijalishi ni kazi ya ndoto yako au la. Kuhusu biashara inahitaji usimamizi wa karibu sana na muda wa kukua kuizoea na kuzoeleka so sio rahc kujigawa kwenye ajira na biashara, chagua njia moja bro.
  11. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kauli zako za matusi tu zinatosha kuonyesh wewe ni mtu usiyejitambua,labda nikusaidie kitu cha nyongeza,wilaya zote za mbeya zinajiweza kiuchumi hali inayopelekea uwekezaji kutawanyika maeneo tofauti,kwa lugha nyepesi tofauti ya mbeya jijin na wilaya zake sio kubwa,hili swala sizan kama lipo kwa...
  12. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Hakuna aliyesema mbalizi sio mbeya,hata chunya pia ni mbeya,swali ni je mbalizi ni sehemu ya mbeya mjini? Au nikuulize unapozungumzia mbeya mjini mipaka yake ni ipi kuelekea tunduma,uyole na chunya
  13. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Ahsantee kwa maoni yako
  14. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Mkuu wewe ni mwenyeji wa wapi? Una uhakika kuwa mbalizi ni mbeya mjini?
  15. E

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kama hutojali naomba sababu za jibu lako ni fursa zipi inazo tunduma dhidi ya mafinga
Back
Top Bottom