Recent content by EMI

  1. E

    Msaada: Ninahitaji formula ya usagaji wa chakula cha Kuku

    Ingredients za chakula cha kuku au mnyama yeyeto zinaweza kufahamika. Issue ni kujua ni kuwango gani au percent kiasi gani kila ingredient itachangia. DCP kwa kila stage ya ufugaji inafahamika. Ushauri. Jifunze kutumia Pearson's Square kupata mchanganyiko wenye kubalance DCP. Jambo moja la...
  2. E

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    New development in Fish Farming Watu wengi wamekimbilia kufanya ufugaji wa samaki jambo ambalo ni zuri. Changamoto kubwa ambazo wamekutana nazo ni upatikanaji wa chakula bora cha samaki kilichoko katika mfumo unaorahisisha samaki kula vizuri (pellets) na upatikanaji wa mbegu bora zinazotoa...
  3. E

    Vyama vya siasa Tanzania na mapungufu ya kiitikadi

    White supremacy, land redistribution without compensation, nationalization of mines, banks etc, share based salaries to employees. Hizi ndiyo itikadi za EFF? Nauliza tu.
  4. E

    Najiuliza maswali kuhusu Waziri Mkuu atakayetokana na UKAWA

    Waziri Mkuu kutoka chama chenye wabunge wengi ni takwa la kisheria na kikatiba. Rais atakuwa Lowassa ila chama kitakachokuwa na wabunge wengi ni CCM kwa sababu UKAWA, sio chama. UKAWA ni kwenye kuchagua tuu diwani, mbunge na rais ila anayechaguliwa ni mbunge wa chama binafsi ambapo kwa idadi ya...
  5. E

    Elimu bure inawezekana; si muujiza.!

    Uk tuition fees kwa Un Pauni 12,000 = Tsh 42,000,000 kwa mwaka. Tanzania tuition fees Tsh. 3,000,000 kwa mwaka. K
  6. E

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Napatikana kwa namba 0655500707.
  7. E

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mkuu, hili bandiko aliweka mwenzetu humu ndani, ila linaelezea kununua tu Amazon, nimeziba mwanya kwa kuonesha unaponunua Amazon wao wanaokuuzia hununua Alibaba.com China. Hivyo tuwe makini na bidhaa hizi, tunaambiwa kuna ni za USA au Ulaya kumbe nao baadhi ya bidhaa zao hunuunua China. Unaweza...
  8. E

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mkuu kinachofanyika hapa ni sawa tu kununua vitu China na kuuza kwenye masoko makubwa hapa nchini kama Nakumatt, The Game, Pick and Pay, n.k. Tofauti ni kuwa badala ya kuuza hapa nchi unaviuuza kwenye masoko makubwa AmAZON AU eBAY duniani. Tofauti nyingine ni kuwa huendi China wala USA/UK kuuza...
  9. E

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Kweli inafaa ukaanza kuangalia biashara kwa mtindo tofauti wakati wa muda wa mapumziko. Tembelea Amazon.com angalia jinsi wanavyouza vitu na kisha tembalea Alibaba.com uone wanavyozalisha. Kwa wale ambao wameishi Ulaya na Amerika wajua jinsi wanavyonunua kwenye soko la Amazon.com. Biashara...
  10. E

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mkuu nilitolea mfano wa vijana waliomaliza vyuo hivi karibu kwa kuwa bado wako fresh kwenye mambo ya baishara. Hawajawa affected na jinsi tunavyochukulia biashara kama kuwa na kibanda cha tigo pesa, bar au saloon, nguo kariakoo n.k. Hawa ni rahisi kuelewa kuwa watu wanatengeneza hela nyingi...
  11. E

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Jambo Tz Mkuu unaweza kugusia kuhusu kununua bidhaa za quality ya juu Alibaba.com China na ku-list kwenye soko la Amzaon US na UK. Zaidi ya importation hii itaingiza hela za kigeni nchini. Kama unajua basi tunaweza kulifikiria soko hili hasa kwa vijana wanaotoka chuoni na watumiaji wazuri wa...
  12. E

    Secret money business plan with minimum budget less than 100$

    Kabla ya kufika huko anza na kutengeneza blog ndogo kama Dar City Plumbers ujifunze jinsi ya kuiendesha, ndio unaweza kurukia huko unaposema. Tunajua hayo yanafanyika kila siku inahitaji kujifunza kwanza hatua kwa hatua.
  13. E

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkuu umezungumza vizuri kuhusu kununua (Import) ila hujasema lolote kuuza bidhaa Amazon kwa FBA kutoka Alibaba. Nina uhakika kwa jinsi ulivyoeleza hata kuuza unajua. Sisi wengine tunajua ila kuelezea inakuwa shida kweli. Tafadhali wajulishe na jinsi ya kuingia kwenye soko kubwa Dunia linalouza...
  14. E

    Jinsi ya kujiondoa kutoka kwenye lindi la umasikini(vircious poverty cycle)

    Nimefurahi jinsi ulivyojaribu kuelezea. Lakini kwa nini tusijifunze kutumia ufahamu ili kujitoa kwenye umasikini. Ufahamu ndiko kunakofanyika miujiza. Ukiweka wazo lako liwe zuri au baya ukakaa nalo kwa muda mrefu basi wazo hili litatokea kuwa kitu unachokiwaza. Basi tujaribu kuweka mawazo ya...
Back
Top Bottom