shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Habari mkuu, nimependa sana jinsi ulivyotufungua macho, vipi kuhusu visa ya china, kuna kipindi nilihangaika sana kupata viza, na tatizo ilikuwa pasport mpya, ilibidi niende hk, nikidhani huko nitapata kirahisi, lakini wapi, motokeo yake nikapata ya kuingia shenzen kwa siku tato, je km nilifanikiwa kufika shenzen, naweza kupata viza hapa tz? Ya kwenda guanzuu? Naomba namba yako mkuu.