Inawezekana kabisa. Kuna mwaka waliajiri Bsc na BA education vyuoni bila kubagua.
Ingawa tangu mwaka 2014 hawajaajiri wakufunzi wapya vyuoni.
Na utaratibu mpya uliopo kwa sasa ni kuwapromote walimu wenye sifa kutoka secondary kulingana na mahitaji ya wizara
Okay vizuri.
Kama wazazi wanamudu hiyo gharama ya nursing ni vizuri. Nakutaka familia mmpe Uhuru na mtoto wa kuchagua nini anapenda.
NB ada ya nursing sio hiyo tu uliyosema kumbuka kuna michango ya Nacte mingi mfano nacte registration 15,000/=, mtihani wa semister 150,000/=, uniform bila...
Udahili kwa vyuo vya serikali walishafanya na selection tayari.
Nadhani kwa sasa wamefungua dirisha la maombi kwa vyuo vya Afya vya private.
Cha kufanya kwanza Chagua chuo unachotaka akasome kisha ingia kwenye website ya chuo husika utaona link ya application. Hata joining Instructions ya chuo...
Recategorization inawezekana kwenye utumishi wa umma. Changamoto ipo kupata ruhusa ya kwenda masomoni kama ni chuo unaenda kusoma full time kwa mwajiri inakuwa haina tija.
Kwanza niulize unataka kusoma course ya mass communication ili ufanye kazi gani hapo halmashauri baada ya kuhitimu? Je...
Kimsingi course zote ajira sio shida sana.
Nimeona hapo mwishoni umesema kiuchumi wazazi hawapo vizuri.
Tambua kwamba endapo atanda Nursing & Mildwife atahitajika kulipa ada ya chuo pamoja na meals and accommodation.
Lakini Bsc Education kuna uwezekano mkubwa kupata mkopo wa HESLB kwenye...
Upo sahihi mkuu kwa nchi zinazoendelea iko hivyo. Lakini kwa nchi za ulaya na marekani nanotechnology na biomaterials zimeanza kuibuka miaka ya 1960s.
Kupitia hii nanoparticles wataalamu hivi sasa wanadetect kwa haraka magonjwa mengi ya binadamu kama vile cancer na kudevelop matibabu yake...
Kuwa specific, Optometry kwa level gani certificate, diploma au degree ?
Kuhusu hiyo aya ya mwisho huwezi chaguliwa na Chuo halafu ukawa huna minimum qualifications za Nacte. Vyuo vyote wanafuata guidelines za Nacte na TCU.
Ulipambanaje mkuu kwa laki na nusu mkononi? Najua vyuo vya afya ada ni kuanzia milioni na kuendelea tena vya serikali. Ukizingatia msosi anajitegemea mwanafunzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.