Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo vya private vyot tia maji this maji aende gvn muhas,udom au udsmHabarin wana jamvi mpo salama natumaini
Samahani nilikua naomba kufahamishwa vyuo bora vya afya kozi ya clinical medicine kwa hapa dar es salaam vya private vyenye hostel na very competent ntafurahi sana nikipata majibuu msaada wenuu
Mkuu jamaa anataka clinical medicine na hivyo vyuo ulivotaja hiyo kozi awatoi shida ndo hapoVyuo vya private vyot tia maji this maji aende gvn muhas,udom au udsm
Una uhakika na unachozungumzaMkuu jamaa anataka clinical medicine na hivyo vyuo ulivotaja hiyo kozi awatoi shida ndo hapo
Clinical medicine = clinical officer labda awe anazungumzia doctor of medicine mkuuUna uhakika na unachozungumza
Mkuu jamaa anataka clinical medicine na hivyo vyuo ulivotaja hiyo kozi awatoi shida ndo hapo
Kwahy clinical medicine ni sawa na clinical officer !?Clinical medicine = clinical officer labda awe anazungumzia doctor of medicine mkuu
Muhas apo ata kama ni diploma inabidi olevel uwe na one mdgo wangu olevel alikuwa na div two ya 19 olevel ila round zote katemwaUna uhakika na unachozungumza
Clinical medicine ndio jina la kozi ila anaesomea hiyo kozi anaitwa clinical officer(afisa tabibu) tulikua atujaelewana tu mkuuKwahy clinical medicine ni sawa na clinical officer !?
Muhas ukiwa na two iliyoshiba kwa kozi kama ya environmental health sciences unapata na two iwe na pass kama ABC au BBCMuhas apo ata kama ni diploma inabidi olevel uwe na one mdgo wangu olevel alikuwa na div two ya 19 olevel ila round zote katemwa
Duh bas atafute college kama alivoelekeza mkuu apo juuMuhas apo ata kama ni diploma inabidi olevel uwe na one mdgo wangu olevel alikuwa na div two ya 19 olevel ila round zote katemwa
Correct pigia mstari iliyoshibaMuhas ukiwa na two iliyoshiba kwa kozi kama ya environmental health sciences unapata na two iwe na pass kama ABC au BBC
Hakika ujakosea ila yeye kwa olevel pcb inasoma CBB respectively ila ametemwa tu 😂Muhas ukiwa na two iliyoshiba kwa kozi kama ya environmental health sciences unapata na two iwe na pass kama ABC au BBC
Maana kozi kama hizo watu hawana mpango nazo sana mkuuCorrect pigia mstari iliyoshiba
Ilo kalai ni la somo gani!?Hakika ujakosea ila yeye kwa olevel pcb inasoma CBB respectively ila ametemwa tu 😂
Bila shaka wanafanya bora liende tuMaana kozi kama hizo watu hawana mpango nazo sana mkuu
Aliomba kozi gan maana kwa pharmacy,lab,radiography,nurse wanataka one tu ila hiyo environmental health sciences anapata ata kwa second round mkuu shida kozi sijui kama inasokoHakika ujakosea ila yeye kwa olevel pcb inasoma CBB respectively ila ametemwa tu 😂
Ameomba vyuo vya private sio vya serikaliHakuna chuo cha serikali DSM , Wanachotoa Clinical Medicine ukiachana na Lugalo kinachomilikiwa na jeshi..