Hivi UDSM kunautaratibu wa kufanya late application, masters degree?

jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
2,065
8,584
Naombeni kuuliza kitu wakuu, nimebahatika kupata mtu ambae amekubali kunilipia gharama za masomo postgraduate.

Kwa vile sikuwa nimejiandaa ,nimekuja gundua deadline kwa october intake imeshapita, sasa nilikuwa na uliza,

Kuna utaratibu wowote ninaweza kufanya nikajiunga na masomo kwa huu mwaka november,
kwenye tangazo lao deadline inaonesha mwisho ilikuwa ni september, ila ukienda kwenye system yao ya admission inaonesha bado wanaendelea kupokea watu.

Jee kuna utaratibu wowote wa kufanya late apolication maana niliwai sikia kuna kitu kama hiko? Anae jua anipe muongozo.

Natanguliza shukran
 
Mm no miongoni mwa waliomba nitake ya mwezi wa 9 now wapo katika mchakato wa kurelease majina nacho jua we apo subiri mpaka nitake ya mwakan ya mwezi wa pili ndo ipo opened!! Au Kama utaweza nikupe no ya lecture lkn kwa upande wa department ya Coet yeye ana dili na mambo kama aya sijajua ww upo department gani km ni za biashara au zingine!!?
 
Shukran bro mm nipo coict
Intake ya mwezi october majina yako released tayari 1&2 batch na wanaanza registration 08 november.
Ila mm pia nilikuwa nataka niombe intake ya mwezi wa pili mwakani ila kunajamaa kanambia kuwa huwa wanakubali kupokea wanafunzi hata kama deadline imepita nilikuwa nataka kuanza mwaka huu.

Nimejaribu kufanya application kwenye kuchagua intake wameweka unaweza chagua either october 2021 au march 2022
 
Sijajua kaka maana mm niliomba mwishoni mwa mwezi wa 9 kabla second round being closed na now almost mwezi account yangu Kwenye dash board inaonesha tu kuwa nime submit my application nacho jua kuna mwalimu alinipigia kuni alert tu kuwa nimepangiwa structural km wiki 2 zilizopita ivi ila majina bado sijapata kama utakuwa na majina plz share with me 👍
 
Sijajua kaka maana mm niliomba mwishoni mwa mwezi wa 9 kabla second round being closed na now almost mwezi account yangu Kwenye dash board inaonesha tu kuwa nime submit my application nacho jua kuna mwalimu alinipigia kuni alert tu kuwa nimepangiwa structural km wiki 2 zilizopita ivi ila majina bado sijapata kama utakuwa na majina plz share with me
Ingia tu kwenye website ya udsm utayakuta
 
Sijajua kaka maana mm niliomba mwishoni mwa mwezi wa 9 kabla second round being closed na now almost mwezi account yangu Kwenye dash board inaonesha tu kuwa nime submit my application nacho jua kuna mwalimu alinipigia kuni alert tu kuwa nimepangiwa structural km wiki 2 zilizopita ivi ila majina bado sijapata kama utakuwa na majina plz share with me

View attachment 20211008_023814_UDSM_LIST OF APPLICANTS SELECTED TO UNDERTAKE POSTGRADUATE STUDIES FOR 2021-20...pdf
 
Naombeni kuuliza kitu wakuu, nimebahatika kupata mtu ambae amekubali kunilipia gharama za masomo postgraduate.

Kwa vile sikuwa nimejiandaa ,nimekuja gundua deadline kwa october intake imeshapita, sasa nilikuwa na uliza,

Kuna utaratibu wowote ninaweza kufanya nikajiunga na masomo kwa huu mwaka november,
kwenye tangazo lao deadline inaonesha mwisho ilikuwa ni september, ila ukienda kwenye system yao ya admission inaonesha bado wanaendelea kupokea watu.

Jee kuna utaratibu wowote wa kufanya late apolication maana niliwai sikia kuna kitu kama hiko? Anae jua anipe muongozo.

Natanguliza shukran
Kama application window Bado inasoma.
We jaribu kuapply mara nyingi nafasi za postgraduate hazina competition kivile.
So jaribu kuomba
 
Naombeni kuuliza kitu wakuu, nimebahatika kupata mtu ambae amekubali kunilipia gharama za masomo postgraduate.

Kwa vile sikuwa nimejiandaa ,nimekuja gundua deadline kwa october intake imeshapita, sasa nilikuwa na uliza,

Kuna utaratibu wowote ninaweza kufanya nikajiunga na masomo kwa huu mwaka november,
kwenye tangazo lao deadline inaonesha mwisho ilikuwa ni september, ila ukienda kwenye system yao ya admission inaonesha bado wanaendelea kupokea watu.

Jee kuna utaratibu wowote wa kufanya late apolication maana niliwai sikia kuna kitu kama hiko? Anae jua anipe muongozo.

Natanguliza shukran

Habari mkuu, hivi intake ya march 2022 masters application deadline ni lini?
 
Back
Top Bottom