Recent content by emanuel prim

  1. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

    Wa kampuni gani? Kiasi gani?
  2. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuingia utu uzima nimeanza kukabiliana nazo

    [emoji120] Mara zote utupatia kilicho bora.
  3. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

    Kama utaweza kuzingatia mazoezi ya mwili kidogo, Naweza kufundisha namna nzuri ya kufanya mazoezi ya kegel juu ya tatizo lako?
  4. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu ya gari kuchemsha (overheat)

    Unatumia maji ya Dawasco au coolant kwenye rejeta?
  5. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Cheki hii Core i5 11th Generation 8gb ram 350 MX invidia 256gb SSD
  6. emanuel prim

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Nakazia hoja
  7. emanuel prim

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, huyu ni mwanamke sahihi kwangu?

    Pole kaka.. ila hapo huna mke. kuna kipindi nilikua kwenye hali kama yako, na kitu kilikua kinaniumiza ni mtoto. Binafsi nilidhamiria kupiga chini, ila katika harakati za kutafuta ni namna gani nitafanya ili Damu yangu isitaabike. Akaondoka mwenyewe Ilinibidi nikatoe na sadaka ya shukrani[emoji3]
  8. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Gari imerudi kuwa mpya kabisa

    Hii itakua Rav4
  9. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo

    Ni mali gani utatumia kama dhamana ya mkopo, endapo ukishindwa kulipa deni ifidie?
  10. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Inaitwaje hii ndugu
  11. emanuel prim

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

    Mwanamke hang'ang'aniwi bro.. Busara ni kumpa nauli akashtaki anapoona inafaa, na kesi yenu mtaisikiliza hapo. Kamwe usionyeshe udhaifu mbele yake, Wala kuonyesha kua yeye ndio kila kitu kwenye maisha yako.
  12. emanuel prim

    JamiiForums Tanzania Ukiletewa Kesi na Mwanamke usiiendee kichwakichwa!

    [emoji120]
Back
Top Bottom