Msiogope Watanzania Wote mnaojitambua na kutaka Mabadiliko kwa Faida yetu Na Vizazi vyetu.
Msiogope hata kidogo kwa mnayoyaona na kuyasikia kwa sasa.
Mabadiliko yako palepale pamoja na yaliofanyika mpaka sasa.
Waacheni wajiinue na kuwatumia Polisi wetu vibaya watakavyo.
Ata Farao alikua...
Nawakumbusheni kua Mabadiliko yako palepale pamoja na yote yaliofanyika mpaka sasa. Wenye Masikio na wasikie.
Msiogope Enyi mlio-onewa na Kudhihakiwa.
Hakika mtafurahi na kushangilia.
Wakati ndio utakaodhibitisha hilo.
Umesema vyema sawa na unavyohisi sawa sawa na wengine kadhaa.
Kwanza ni vizuri Mkajua kwa hakika kua tunaposema Tunataka Mabadiliko tunamaanisha nini sisi Watanzania.
Kumbukeni kua Mungu alituwekea Utarabibu wa Mipaka kati ya Nchi na Nchi. Na utarabibu wa kua na Viongozi ili kuongoza wengine...
Kwanza tumshukuru Mungu kwa hatua tuliofikia.
2: Msiogope Watanzania Wote Mliopiga Magoti ili Tanzania yetu ipate Mabadiliko Kwa Faida yetu na Vizazi vyetu.
3: Msiogope Enyi Viongozi Mlio-ongoza kwa Amani Usiku na mchana kwa Hali na Mali kuwezesha Mabadiliko ya Taifa letu kwa Faida yetu Na...
Tehe! Tehee!!Teheeeee!!!!! CCM mwaka huu mtasema yote na haitawasaidia maana Watanzania wanawafahamu kuliko mnavyowafaham. Mwanadam haongozwi kienyeji.
Jibu la swali lako ni Rahisi sana. Ni kwamba Mwanadam ukimdanganya na kumuonea muda mrefu ni lazima akugundue, hivyo kila unakoenda iwe ni star tv, tbc au lauz nk wanakuona tu. Mbaya zaidi ni kua Mwanadam ukishamfikisha hapo kila utakachokifanya unazidi kumkasirisha. Ukitaka kuamini tusubiri...
Waacheni watumie Tbc na Star Tv kuendelea kutukasirisha. Hawataweza kubadili Mwelekeo wa Upepo, nawaonea Huruma Polepole na Slaa nk kutumwa kuzuiya Upepo. Hawa lazima wabebwe na kutupwa na Upepo pasipo julikana.
Alichokosea Dr Silaa nakifananisha na kosa alilolifanya Mjomba wake Nuhu Wakati wa Gharika.
Ilikua hivi:-
Nuhu alikua na Mjombaake aliempenda sana.
Na Mjomba alimpenda sana Nuhu.
Wakati Nuhu alipopewa Agizo la kujenga Safina,
Mjomba alimsaidia Nuhu ktk kukata Miti nk, mpaka ilipomalizika...
Nuhu alikua na Mjombaake aliempenda sana.
Na Mjomba alimpenda sana Nuhu.
Wakati Nuhu alipopewa Agizo la kujenga Safina,
Mjomba alimsaidia Nuhu ktk kukata Miti nk, mpaka ilipomalizika.
Nuhu baada ya kuwaingiza Wanyama Ndege na Viumbe vyote jike na Dume, akaambiwa aingie maana Mvua muda sio...
Pia Vodacom wameondoa huduma ya kuongea na muudumu wao bure Sasahivi ni shilingi 100 kuongea nao. Ndio Tanzania imefikishwa na Mfumo m'bovu hapo. Kila Mtu anajiamulia atakavyo.
CCM mnachekesha na kusikitisha sana. Yaani mmesahau kua Mwanadam haongozwi kienyeji. HAKUNA MTAKACHOKIFANYA ILI M'MBAKI MADARAKANI TENA. MMECHELEWA POLENI SANA. TENA MKITUMIA NGUVU NDIO MNAARIBU KABISAA.
Tanzanite na Madini yote ya Vito :- Taifa lolote linalo-ongozwa na Viongozi Makini hubadilisha Sheria zake kwa Wakati ili kuendana na Wakati na Mazingira halisi husika; Japo sisi Tanzania tunafanya kwa kuchelewa jambo ambalo lingesababisha Uvunjifu wa Amani kama Watanzania % 80 au 90 wangekua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.