Recent content by Emanuel Jumanne John

  1. Emanuel Jumanne John

    Kazi ni nini?? Waraka wa kufafanua kauli ya Rais John Pombe Magufuli. (Fanya kazi)

    Utangulizi. Kazi ni ibaada,ukifanya kazi kwa nguvu zote na akili zote utaweza kuyafikia malengo yako kwa urahisi, kwani kufanya kazi kunafanya mwili kuwa imara, akili kuchangamka sana tofauti na mtu aliyekaa bila kufanya kazi huku akiwa na malengo yake. Kufanya kazi kunakurahisishia mafanikio...
  2. Emanuel Jumanne John

    Fidel Castro alikuwa mtu wa aina gani?

    Asante kwa kunikumbusha Mkuu.
  3. Emanuel Jumanne John

    Fidel Castro alikuwa mtu wa aina gani?

    Fidel Castro aliitawala Cuba kama taifa lenye mfumo wa chama kimoja kwa takriban nusu karne Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani , lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani. Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake kama...
  4. Emanuel Jumanne John

    Mashushushu wa Fidel Castro walikuwa na hisia ya sita(Sixth Sense)

    Mashushushu hawa ndio wenye mafanikio makubwa kuliko wote Duniani. Njama 638 za mauaji aliyoepuka Fidel Castro.(Chini ya mashushushu wenye ustadi wa hali ya juu sana(skillful) Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637 dhidi ya...
  5. Emanuel Jumanne John

    Watumishi waliosoma vyuo vikuu bila sifa kufukuzwa kazi

    Baada ya matamko kadhaa kadhaa ya serikali kuhusu Sekta ya Elimu nchini hatimaye leo limeibuka jingine la kutimua watumishi wote wa umma waliojiunga na vyuo vikuu na kutunukiwa "degree" bila kuwa na sifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako wakati akifungua maonesho ya vyuo...
  6. Emanuel Jumanne John

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Pro.Joyce Ndalichako amepiga marufuku wanafunzi wasio na sifa kujiunga kujiunga na masomo ya Shahada (degree) kwa kupitia Foundtion Course, bila kupita kidato cha sita. Prof.Ndalichako emesema mfumo wa elimu huria umechangia kuzalisha wasomi butu kwa kupokea...
  7. Emanuel Jumanne John

    Sababu zilizopelekea Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kuzuiwa asisafiri nje ya nchi

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, jana amezuiwa na maofisa wa Serikali kusafiri nje ya nchi kutokana na miongoni mwa wajumbe wanne aliokuwa ameongozana nao kutokuwa na viza. Taarifa zilizofika chumba cha habari jana jioni, zilidai kuwa Kikwete ambaye pia alikuwa ameongozana na mke wake, Salma...
  8. Emanuel Jumanne John

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    sasa hicho ndio nini unamaanisha ni Blue or Red state gani??
  9. Emanuel Jumanne John

    Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    "Akifa Mbowe,Akifa Lissu,Wakifa wote mashujaa wa Nchi hii Wataibuka watu wasio Ogopa,Majasiri,watu wenye akili maalum ambao hawakutegemewa katika jamii, kama Akina PASCAL MAYALLA."~~Emanuel J John
  10. Emanuel Jumanne John

    Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Breaking newzzz KATIBU MKUU WA CHADEMA HUYU HAPA.NI... Dr Vincent Masinji ndiye amependekezwa na Mwenyekiti Taifa kwa Baraza Kuu kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Masinji ni Daktari wa Binadamu.
  11. Emanuel Jumanne John

    Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Sasa imethibitika kuwa Bodi ya MCC iliyokaa tarehe 16 Dec 2015 imehairisha rasmi kuidhinisha msaada wa Millenium Challenge uliokuwa umekusudiwa kwa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2016. Sababu kuu mbili zilizosababisha uamuzi huo ni: 1. Mkwamo wa Uchaguzi wa Rais na Wawakilishi Zanzibar na 2...
  12. Emanuel Jumanne John

    Ujue baadhi ya utajiri wa Nchi ya Tanzania

    1. Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2. Tz Kwa miaka 38 hii inchi imeongozwa na ccm peke yake ambayo ni zao TANU na ASP. 3. Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko kama ebola...
  13. Emanuel Jumanne John

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    takwimu za TWAWEZA ni za kupika. Kwanza tukumbuke kuwa sheria ya takwimu iliyopitishwa bungeni hivi majuzi inasema tafiti zote kabla ya kutangazwa zinapelekwa serikalini na serikali inaichunguza report hiyo baada ya kujiridhisha ndio inaruhusu kutangazwa kwenye public.""!!!??mpaka hapo mwenye...
Back
Top Bottom