Recent content by Emanuel Cx

  1. E

    Polisi wapandisha bei za stika kutoka Tsh. 3,000 hadi Tsh. 7,000, ongezeko la zaidi ya 133%

    Kweli 5000 hata mimi nimekata for private ni 5000 na wanaandika pale chini. Soma sticker yako chini imeandikwaje kama ni for private.
  2. E

    Uwezo wa Mwalimu wa Tanzania kuishi maisha ya ‘Middle Class’ ni mdogo

    Kama vigezo vya middle class income ni hivi hapa sio walimu inawezakuwa nusu yetu wote
  3. E

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wazo jema sema huo upande wa Salah huyo dogo Mido na TAA tukikutana na watu watulivu waakili kama.Madrid tutaimba halleluya again and again
  4. E

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mhh inamaana next financial year utaonyesha tena 100M as tranfer fee expenses for the some players? Hakuna Auditing huko ulaya? Then what about due diligence, mfano PSV anasema mwaka huu kwenye mapato yetu tumepokea 45M from liverpool kwa mauzo ya Gakpo then Liverpool nyie mnasema tumelipa 10M...
  5. E

    Je, naweza kuanza ujenzi nikiwa hivi?

    Huu mtazamo upo sawa sana, sijui kwanini watu wanaona Ujenzi ni project lazima iishe sasa, mzee now una miaka 26 matazamio yako miaka 10 ijayo utakuwa na umri wa miaka 36 hapo utakuwa na Mke na labda watoto, wakati huo mambo yanakuwa Mengi sana ukianza ujenzi now taratibu utaona baadae...
  6. E

    Dj Ally ni nani?

    U Dj ukipata jina kama lake na unapiga sehemu classic, una lipa sana mana wiki nzima kuanzia jumatano wewe unaingiza hela tena cash na huna mambo ya kodi, mfano labda kila akipiga anakunjiwa 300k kwa siku 4 ni 1.2M kwa mwezi ni almost 4.8M to 5M hapo ujaweka special events.
Back
Top Bottom