Licha ya kua na elimu kuanzia stashahada shahada au masters degree na kufanya kazi masa zaidi ya 8 kwa siku, Ila ukweli ni kwamba Mwalimu wa Tanzania hawezi kuishi maisha ya middle income class kwa viwango vya kimataifa kabla ya kustaafu.
Mwalimu hawezi kujenga residential house ya 70- 120 Milioni. Mwalimu hawezi kumiliki gari la 30m na kulihudumia, hawezi kusomesha watoto 3 shule nzuri za English medium kwa mpigo.
Hawezi kuenda holiday nje ya nchi kwa angalau wiki mbili labda uwe semina ya kikazi. Mwalimu hawezi kuuguza na kutunza mgonjwa wa kansa au wa complication za moyo kwa mwaka moja, kwa kutumia kipato chake chake cha kazini labda akope au arithi mali za ndugu au wazazi.
Tunaomba serikali isaidie waalimu waingie kwenye middle income class kama wafanyakazi wengine na wafanyabiashara.