Timu za afrika ni nzuri kwa namna yake zimeleta sana competition katika msimu ingawa focus ya timu zetu haiko kwenye kuchukua kombe ila kwa hatua izi kiukweli ni hatua kubwa sana kwetu naimani tuna uelekeo mzuri ata kwa michuano ijayo
Kwanini wanawake wanapenda kupay attention ikiwa umeachana nae for good ila yeye anakutafuta kukuonyeshea kuwa ana amani kwenye maisha yake ya sasa hii imekaaje wakuu
Unahisi kwanini sikuizi watu wengi wamekuwa wakisherehekea mwenzao akifedheheshwa mtandaoni na mara zote watu wakiwa upande wa kumdhihaki yule anae chafuliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.