Jambo gani uwezi kumsamehe mwenza wako?

Hivi ni kosa gani uwezi kulifanya katika kuingia katika mahusiano na je ikiwa umeingia katika mahusiano ni jambo gani uwezi kumsamehe mwenza wako
Kosa limefanyika baada ya kuingia kwenye mahusiano ambayo yanaumiza.Sasa kabla ya kufunguka tayari kosa limesha tangulia.

Huwa najiuliza huwa inawezekana kupata mwenza.
 
Mimi nasamehe yote bila kujalisha aina ya kosa kwasababu level niliyofika na yote niliyopitia kwenye mahusiano hakuna kosa kubwa kwangu kila kosa naona kawaida tu, sisumbui afya ya yangu ya akili na mwili kisa binadamu mwingine hell NO! yaani afanye kosa mwenyewe kwa utashi wake then mimi ndo nisumbue akili yangu big NO!
 
Ukiona mwanamke anacheat kuna sababu ni wachache sana wanaocheat kwa tamaa zao
yan mtu anaitwa mwanamke huwez pata formula yake yan hawaelewek mzee iwe kwa tamaa wapo weng weng isiwe kwa tamaa wapo weng,mfano hai mabint zetu wa chuo aseh wanaliwa sana yan ukichunguza mambo hayaelewek
 
Back
Top Bottom