Recent content by ema nuel

  1. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

    Mnahamasishana ngono tu
  2. ema nuel

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

    Nitajikwaa na kuanguka tiii mikononi mwa mrembo 1
  3. ema nuel

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupia mzigo usiwe na wasi yanga anashindaga kipindi cha 2 almost
  4. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Mtoa mada nina uhakika hujaoa hujui uchungu wa mke wewe wewe ni wa kupigwa shaba
  5. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Mshahara wa dhambi ni mauti ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga..
  6. ema nuel

    JamiiForums Tanzania Nabii Suguye akamatwe na ahojiwe Kwa kielelezo hiki!

    Suguye vs clear malisa ni ndugu wa baba 1
  7. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Nguvu ya kujua ina athari kubwa sana katika maisha ya watu ni bora kutokujua
  8. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume

    Wanaume waoaji tupo wachachache sana na kutupata ni tabu sana
  9. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa single mateso

    Unajiita mwanaume afu uko single ni kosa kubwa sana warembo wengi sana mpaka tunashindwa kwa kuwapeleka
  10. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Mwenyez mungu nwingi wa rehema kwa kweli awatie nguvu
  11. ema nuel

    JamiiForums Tanzania Top Ten Ya Mikoa Yenye Kipato Kizuri 'Dar es Salaam, Iringa na Mbeya' Zaongoza huku 'Kagera, Kigoma na Singida' Zikishika Mkia

    Dodoma kwa ujumla hamna kitu inabebwa na mjini tu pale wilaya zake zote maisha ni magum sana hamna kitu wanazalisha asilinia kubwa nenda chemba huko sijui kondoa nyumba nyingi ni za tembe zikiashilia uhalisia wa maisha yao Mkoa kama mbeya kila wilaya ina mchango wake chunya madini, mbali...
  12. ema nuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu zangu za kuoa single mother

    Kama nawewe ni single faza oa tu ila kama sivyo sisi tutasubir mrejesho Mimi siwezi oa single mother kamwe nina case nyingi sana nilizopitia nao eeeh mwenyez mungu nisamehe kwa hili...
  13. ema nuel

    JamiiForums Tanzania Simba katika mipango ya kumsajili Fei Toto baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu

    Daaah shtuka mkuu uko ndoton unaota
  14. ema nuel

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wacha nijisacrifie
  15. ema nuel

    JamiiForums Tanzania Chadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!

    Adui yako usimwombee njaa, pendaneni mpende jirani yako kama nafsi yako hii ndio amri kuu nawapeni. Muwe na jumapili njema.! Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom