Recent content by Elvancd Magoma

  1. E

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    WanaJF, Naitaji kuanza kutengeneza sabuni za kufulia kama B 29, Star ya Uganda, Komesha n.k, mimi niko Mwanza na tatizo litakalonikwamisha ni soko sababu mwanzo ni mgumu. Naomba niwasilishe kwenu kwa maoni na ushauri zaidi.
  2. E

    Habari njema kwa wajasiriamali na wafugaji

    Na kwa mwanza mtafika lini?
  3. E

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Mzizi mkavu. naomba ushauri mke wangu kila anapofikisha mimba miezi 7 anajifungua njiti na anakuwa anamanjano na tatizo linalomsababishia zaini presha, je ni nini tatizo lake na tiba mbadala yake ni nini?
  4. E

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Jamani kuna jamaa mmoja h hapa Igoma anavaa cheni mguu wa kuhoto kwa hiyo naye anapakuliwa.
  5. E

    Mambo 5 ya kumfanya mwanamke akupende haya hapa...

    Haya ni majanga, ukita akupende mliwaze,muandae vizuri kila kona akikisha kila sehemu umegusa, kisha msugue vizuri amalize hata mara 3 au 4 ndipo na wewe umalize au mmalize pamoja hapo demu wako atakupenda
  6. E

    Mwanaume pata breakfast hii

    Ni bora utujuze hii breakfast inasaidia nini kwa wanaume na hayo maji ni ya moto au huo mchanganyiko unauchemsha au laa.
  7. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Gazeti. tunaomba mwongozo wa kuzitengeneza na matumizi
  8. E

    Tujuane wana JF wa Mwanza

    Niko kishiri Igoma
Back
Top Bottom