Recent content by elution

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je, BBC siku hizi imekuwa biased broadcasting corporation?

    Lengo lao ni kuichafua nchi. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    Hata mimi najiuliza kwanini inashindwa kudetect missile za Muiran. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Dunia iliwahi kushuhudia: Ujeruman 7 - Brazil 0. Wiki hii tumeshuhudia Iran 22 - Marekani 0

    Nimesikia gazeti moja la nchini marekani nimebaini wanajeshi 270 waliuliwa cku ya shabulizi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

    Alishatangaza zamani agombei tena . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. E

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Huyo jamaa hakuwa tajiri unavyomsema ila alisifika kwa ujambazi wa kupora maduka, na alikuwa na magari ya kubebea mizingo, ukienda mchana unakuta gari zote mbovu ziko juu ya mawe ila jua likizama tu zote zinakua zima. Alikuwa anaibia mbali na wilaya yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    JamiiForums Tanzania Urusi Baba Lao watengeneza kombora lenye Technology ya kisasa.

    Kweli, nimeamini hawa watu hawana masifa kama marekani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. E

    JamiiForums Tanzania 2025 ni zamu ya Kaskazini na nyanda za juu kusini

    Kweli, inabidi wasubili kwanza nakanda zingine waongonze nchi, maana hawa jamaa wanajiona sanaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

    Ina maana kada zingine hawana sifa za kuongoza chama? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai tangu sherehe za Uhuru amehamia Chato na Mwanza utadhani ndio Kongwa

    Hawa jamaa wanawivu sana umpangie mtu akatembelee wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

    Mbona wamerusha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. E

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti unacheza na moto. Hakuna aliyewahi kujaribu kuwashusha Wachaga akafanikiwa

    wanajiona ni bora kuliko makabira mengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Unauhakika watanzania warifurahia?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Wanaomuombea mabaya rais ni wapinga dili, vyeti feki, waliotumbuliwa pamoja na rafiki zao ambao walikiwa wanapata za bure
  14. E

    JamiiForums Tanzania Magari ya Rais huwa yapo kila Mkoa au ni hayohayo yanafanya kumfuata anapokuwepo ?

    Kama hujipendi jaribu uone kambembe
  15. E

    JamiiForums Tanzania Magari ya Rais huwa yapo kila Mkoa au ni hayohayo yanafanya kumfuata anapokuwepo ?

    Kama hujipendi jaribu uone kambembe
Back
Top Bottom