RC Mnyeti unacheza na moto. Hakuna aliyewahi kujaribu kuwashusha Wachaga akafanikiwa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Unajua sikuzungumza sana hili jambo la mnyeti kufuta vikundi vya ushirikiano wa Kilimanjaro.

Kila mkoa na kila jamii wana vikundi vya kusaidia mjini Warangi vipo, wahaya vipo, zaramo nimeona, waha, wanyakyusa, wagogo, warangi etc.

Hivi vinasaidiana pia mambo ya misiba kuugua ikitokea mmoja kaugua au ana msiba nyumbani wanamsaidia.

Sasa wewe Mnyeti kwa chuki zako dhidi ya wachaga nakwambia hutofanikiwa labda tu nikwambia tu mzee unacheza na moto na kwamba hakuna aliyewahi kuangusha wachaga akafanikiwa kwasababu tunaamini haki.

Usidhani utafanikiwa RC kwani anguko lako litakua baya sana maana unacheza na moto, Mungu ataenda kukushusha chini kisiasa maana unajaribu kueneza chuki nakwambia hutofanikiwa walijaribu kina BMW na mwasisi utaweza wewe?

Na wasiwasi wewe hata risiti ya kuandikishwa la kwanza huna maana hiyo hata elimu ya darasa la 4 huna.

Unacheza na nguvu usiyoijua, anguko lako linakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom