Recent content by El'son

  1. El'son

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Serikali wekeni lockdown kwenye majiji,watu wameanza kuhamia vijijini

    Wewe unaijuaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. El'son

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo njia kuu 5 za kuondoa 'hangover' ya pombe asubuhi ukishaamka

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. El'son

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo njia kuu 5 za kuondoa 'hangover' ya pombe asubuhi ukishaamka

    Kama umekunywa pombe kali ukiamka tafuta mirinda ya baridi. Piga tarumbeta mpaka iishe. Kisha anzwa kunywa Maji yako taratibu. Dakika 10 sio nyingi utakuwa mpyaaa
  4. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Hatariii usishangae kuona mtu anatembea anaongea mwenyewe
  5. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
  6. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Sasa hii nitaitoaje aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
  7. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Sasa hii nitaitoaje aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
  8. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Kumbeeeeeee umekuja kutafuta wa kuwatapeli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  9. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Kudadeki uzi umevamiwaaaa
  10. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Uongo ni dhambi kubwa sana. Na linapokuja kusema uwongo kuhusu mshahara ni mara mbili ya dhambi ya uongo wa kawaida. Nyie hamjui tuu watu wapo na hali gani? Kuweni na huruma [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
  11. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Wengine tumeumbukiwa nini?
  12. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Aseee kwa jinsi unavyo chekelea yawezekana kweli umetoka.
  13. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Umelamba au unachekelea kuskia tayari? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  14. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Duuuuh mkuu na wewe umeunga hoja, kuwa umetoka.
  15. El'son

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Hii kauli gani? Watanzania huwa tunashau sana kuweka alama ya kiulizo. Inaweza kuwa unaendela kuuliza au kutoa taarifa,
Back
Top Bottom