Recent content by Elon Maskini

  1. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mtaalamu mi natumia simu.
  2. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mtaalamu eeeh. Nimerudi tena mtaalamu. Nilifanikiwa hiyo inaitwa today tv siries then nikadownlod series moja inaitwa The Americans lkn VLC imegoma kufungua mtaalamu. Naomba suluhisho maana nimetumia GB 1.5+.
  3. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Sasa mtaalamu eeeh nimeingia kwenye hiyo site nikajaribu kudownload lkn imegoma au kwenye simu haifai mpaka nitumie PC?
  4. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Tupi Tupiamo tulink twake mkuu
  5. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Link za hizo sites zenye series nazipataje sasa mkuu.
  6. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kwa hiyo ukishakuwa na hii link unaweza kudowbload series au napaswa kuwa na nini tena.
  7. Elon Maskini

    JamiiForums Tanzania Kwa Sheria za nchi yetu hii Imekaaje Wataalam?

    Huyu jamaa inaonekana alikuwa anafahamu kaoa kiumbe cha aina gani tangu awali kabisa.
  8. Elon Maskini

    JamiiForums Tanzania Tumekalishwa kwenye foleni kwa zaidi ya nusu saa kumpisha IGP

    Wanawahi ofisini kupiga deals.
  9. Elon Maskini

    JamiiForums Tanzania Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    So wale wanaotoa ushuhuda wote wamepangwa?!!! BIG NO.
  10. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Download mwenyewe Nkiri.com
  11. Elon Maskini

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

    Nilipokuwa kampuni fulani hivi kuna kipindi nilikuwa napiga "deals" ndefu ndefu mpaka ikafikia hatua simuogopi tena boss.
  12. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Wanaopenda series za wizi wizi na utapeli. Humu ndani yupo Sara na Alex Mahone wa Prison Break.
  13. Elon Maskini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Kipara rudisha umeme.
  14. Elon Maskini

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar naweza kupata psychedelics kama ayahuasca mushroom (Psilocybin), LSD au DMT?

    With respect naomba kufahamu uhusiano wa haya maswali uliyomuuliza mleta mada na kitu anachokihitaji
Back
Top Bottom